$ 0 0 Katika kile kinachoonekana kutaka kuwadhibiti watu wanaodaiwa kuficha fedha,Mhe. Rais John Magufuli amesema kwa mamlaka aliyonayo anaweza kuamua kubadili fedha ili zile zinazofichwa na watu hao wakose mahali pa kuzipeleka