$ 0 0 Makamu wa Rais Mhe.Mama Samia Suluhu, leo amezindua hoteli nzuri na maarufu ya Nyota 5 iitwayo Ramada Encore Jijini Dar. Katika uzinduzi huo alikuwepo pia Mkurugenzi Mtendaji wa hoteli hiyo Mhe.Abdul Ismail.