EID MUBARAK
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hutuba katika swala ya Idd El Haji iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi
View ArticleBUSARA ZA BABA KWA BINTIYE
Msichana alinunua simu smartphone ambayo ni ghali mno. Baba yake alipoiona alimuuliza "Binti yangu uliponunua hiyo simu yako ya gharama cha kwanza kufanya kilikua ni nini?""Niliweka screen protector...
View ArticleGAVANA: SABABU ZA FEDHA KUHADIMIKA MTAANI
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu jana alitolea ufafanuzi hali ya kiuchumi nchini huku akieleza siri ya kilio kinachovuma cha fedha kupotea mtaani na nyingine zikidaiwa...
View ArticleWAASI WA MAI MAI WATEKA MADREVA WA MALORI WA TZ NA KENYA
Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini Tanzania (TATOA) kinaripoti kwamba, waasi wa Mai Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamewateka nyara madereva wa Tanzania na kuchoma baadhi...
View ArticleHUKUMU YA KESI YA ZOMBE NA WENZAKE
Mahakama ya Rufani imemhukumu kunyongwa hadi kufa aliyekuwa Mkuu wa upelelezi wilaya ya Kinondoni (OC-CID), Mrakibu wa Polisi (SP) Christopher Bageni, baada ya kumtia hatiani kwa kosa ka mauaji ya...
View ArticleJE, WALIJUA JIWE LA MBUJI LILILOKO HUKO MBINGA-RUVUMA?
JIWE la Mbuji lililopo wilayani Mbinga, Mkoa wa Ruvuma, ni miongoni mwa vivutio adimu na vya kipekee vilivyopo katika Bonde la Ziwa Nyasa ambalo linajumuisha mikoa ya Mbeya, Ruvuma na Njombe.Tayari...
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI AUSHUKURU UJIRANI MWEMA WA KENYA NA UGANDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli amepokea taarifa ya maafa yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi lililotokea katika Mkoa wa Kagera kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Ikulu...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ AJA KI-BUKOBA NA WIMBO "SALOME"
Staa wa muziki nchini, Diamond Platnumz ameachia Wimbo ambao amemshirikisha msanii mwenzake ambaye yupo katika lebo yake ya WCB Wasafi, Rayvanny ambayo ameipa jina la Salome. Video ameshoot, Nicorux...
View ArticleNDEGE MOJA KATI YA MBILI ALIZONUNUA MHE RAIS MAGUFLI KUTUA TANZANIA KESHO
Ndege ya kwanza kati ya mbili zilizonunuliwa na Serikali za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), inatarajiwa kuingia nchini kesho ikitokea Canada.Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es...
View ArticleNDEGE MPYA YA ATCL YAWASILI DAR IKITOKEA CANADA ILIKONUNULIWA
Ndege mpya ya kwanza iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ikitokea...
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI AIPONGEZA KILIMANJARO QUEENS KWA UBINGWA WA CECAFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amewapongeza wachezaji wa Timu ya soka ya Wanawake ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Queens) kwa kuandika historia ya kuwa Mabingwa wa...
View ArticleCHEKA KIDOGO
Najiuliza tu lakini;TRENI ya Mwakyembe ilivyoanza kazi siku za mwanzo, tulipanda BURE.MABASI YA MWENDO KASI tulipanda BUREDARAJA LA NYERERE(KIGAMBONI) tulipita BURESijui na hii NDEGE MPYA YA ATCL...
View ArticleUJENZI WA DARAJA JIPYA LA SALENDER JIJINI DAR KUANZA JUNI MWAKANI
Ujenzi wa Daraja la Salender litakalounganisha eneo la Coco Beach na eneo Agha Khan kupitia baharini Jijini Dar es Salaam unatarajiwa kuanza Mwezi Juni Mwakani baada ya Serikali ya Tanzania kukamilisha...
View Article