$ 0 0 Najiuliza tu lakini;TRENI ya Mwakyembe ilivyoanza kazi siku za mwanzo, tulipanda BURE.MABASI YA MWENDO KASI tulipanda BUREDARAJA LA NYERERE(KIGAMBONI) tulipita BURESijui na hii NDEGE MPYA YA ATCL tutasafiri BURE nijiandae?