$ 0 0 Alipomaliza ziara yake nchini Rwanda wakati anaelekea Uwanja wa Ndege, Mhe Rais Kagame alichukua jukumu la kuwa dreva wa Mfalme huyu wa Morocco. Huu ni unyenyekevu katika uongozi