Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Browsing all 2089 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOROCCO NA TANZANIA KUSAINI MIKATABA 21 YA USHIRIKIANO KTK ZIARA YA MFALME WA...

Mfalme Mohammed VI wa Morocco amekubali maombi ya Rais John Magufuli ya kujenga uwanja wa mpira mjini Dodoma ambao utakuwa mkubwa kuliko ule wa Taifa jijini Dar es Salaam sambamba na kujenga msikiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEWE DADA "HATA MUNGU ANAKUONA"

Inaumiza sana kuona mtu hatumii bidii kujifunza kitu ambacho ni muhimu hasa katika maisha ya familia na anaamua kuonyesha wazi wazi kuwa yeye hayo sio fani yake. Ila kama mwanamke wa kiafrika na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATARI: ..............WACHINA WAMTEKA MCHINA MWENZAO DAR

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata raia wawili wa China kwa makosa ya utekaji nyara mfanyakazi wa kasino ya Le Grande iliyopo maeneo ya Upanga, ambaye pia ni mchina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE RAIS MAGUFULI AMTHIBITISHA BW SAMWELI KAMANGA KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SBL YATIMIZA MIAKA 20 NA KUTOA MUONEKANO MPYA WA NEMBO YA BIA SERENGETI

Mwonekano mpya wa Bia ya serengeti katika kuadhimisha miaka 20 tangu kuwanzishwa kwa Kampuni ya Serengeti Breweries Ltd mwaka 1996. Kauli mbiu ni "Taifa letu, Fahari yetu"

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

Serikali kupitia Wizara ya Elimu imetangaza matokeo ya mitihani ya Darasa la saba 2016, ambapo imesema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2,52. Imeitaja shule iliyoongoza Kitaifa kuwa ni Shule ya Msingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMAYE: SIRUDI CCM HATA WAKININYANG'ANYA MASHAMBA

Siku moja baada ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kutangaza nia ya Serikali kumnyang’anya shamba Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, mwanasiasa huyo mkongwe amedai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACGAGGA BWANA........

Mchaga aliamua kufungua bustani ya wanyama akafanya kiingilio 10,000/= hakuna aliyeingia akashusha 5,000/= pia hakuna aliyeingia akashusha tena 2,000/= hakuna aliyeingia akashusha 1,000 pia hakuna...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI LAGER WALETA SOKONI BIA YA KOPO YA 500ml

Bila shaka umeshaliona tangazo hili matata kabisa la Safari Lager ukipita Barabara ya Kawawa jijini Dar, wajanja wanakwambia utaalamu uliotumia kutengeneza bango hilo la 3D ni wa hali ya juu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY MR PRESIDENT DR JOHN MAGUFULI

Leo Oktoba 29 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambapo alizaliwa Oktoba 29, 1959. Rais Magufuli alizaliwa mkoani Geita na kitaaluma yeye ni mwalimu aliyebobea katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI WA MAKOSA YA JINAI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS TANZANIA 2016

Leo kwa mara nyingine tena Tanzania imeingia kwenye Headline ya kumpata Miss Tanzania 2016 baada ya miaka miwili kupita bila kufanyika shindano la Miss Tanzania, Shindano la Miss Tanzania limefanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAJIRI WA MGOMBEA URAIS WA MAREKANI BW. DONALD TRUMP

Trump Ocean Club InternationalMakazi yakeNdege yakeLuxury Boat

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI: KOMESHENI MAUAJI YA WANYAMAPORI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI: UTEUZI (TANAPA NA TALIRI)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU: MIAKA 10 BAADA YA KUWA MISS TANZANIA 2006

Hapo jana mlimbwende Wema Sepetu alihudhuria mashindani ya kumtafuta Miss Tanzania 2016 ikiwa ni miaka 10 tangu anyakue taji hilo.Wema Sepetu 2016Wema Sepetu 2006

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA MHE RAIS MAGUFULI NCHINI KENYA

Rais wa Tanzania John Magufuli ameanza ziara yake ya kikazi katika nchi jirani ya Kenya leo ambapo kando na kufanya mazungumzo na Rais Kenyatta atazindua pia barabara.Kwenye ziara hiyo ya siku mbili,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FORM FOUR NAWATAKIA MITIHANI MEMA

Mitihani ya kuhitimu Kidato cha Nne 2016 inaanza leo kote nchini

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE RAIS KAGAME WA RWANDA AKIMWENDESHA MTUKUFU MFALME MOHAMED VI WA MOROCCO...

Alipomaliza ziara yake nchini Rwanda wakati anaelekea Uwanja wa Ndege, Mhe Rais Kagame alichukua jukumu la kuwa dreva wa Mfalme huyu wa Morocco. Huu ni unyenyekevu katika uongozi

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADAWATI YAMEPATIKANA, DARASA JE?

Shule ya Msingi Upendo, Mputa-Namtumbo (Kusini mwa Tanzania)Ila kwa mtoto kama huyu wa eneo fulani Kaskazini mwa tanzania, hali ni tete zaidi maana hakuna cha darasa wala dawati ila anahitaji kupata elimu

View Article
Browsing all 2089 articles
Browse latest View live