TAANESCO WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAISI KUPELEKA UMEME KIWANDA CHA BAKHRESA
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufu la kufikisha umeme kwenye kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Product kilichopo Mwandege mkoani...
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO RASMI NA WAANDISHI WA HABARI
Rais Magufuli: Niwashukuru sana kwa michango yenu mikubwa katika maeneo yenu ya kazi.Swali(Tido Mhando): Ulichukua muda kuunda baraza la mawaziri, Je Katika tathmini hiyo wanafanya kazi kulingana na...
View ArticleUJENZI WA RELI KWA KIWANGO CHA STANDARD GAUGE WAANZA
Pichani inayoonyesha reli ya kati kwa kiwango cha Standrd Gauge iliyoanza kujengwa katika eneo la Soga mkoani Pwani.Pichani ni mchoro wa Vituo vya Treni vitakavyokuwa baada ya kukamilika kwa ujenzi...
View ArticleMHE DKT JOHN POMBE MAGUFULI ATIMIZA MWAKA MMOJA WA URAIS
Leo na mimi nipaze sauti yangu imfikie Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli kwa Mafanikio Makubwa aliyoyapata ktk kipindi cha Mwaka mmoja wa utawala wake tangu aingie...
View ArticleSIMANZI: SPIKA WA BUNGE MSTAAFU MHE SAMWEL SITTA AFARIKI DUNIA
Spika wa Bunge Mstaafu, Samuel Sitta (74) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.Mtoto wa marehemu, Benjamin Sitta amesema baba yake amefariki saa 10:00 usiku...
View ArticleTANZIA TENA: ALIYEWAHI KUWA WAZIRI WA ELIMU JOSEPH MUNGAI AMEFARIKI DUNIA
Aliyewahi kuwa waziri wa Elimu Tanzania Joseph Mungai amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.
View ArticleHOT NEWS; WAMAREKANI WAPIGA KURA KUMCHAGUA RAIS MPYA
Donald Trump na Hillary Clinton wagombea katika uchaguzi wa urais Marekani, Novemba 8, 2016.Wananchi wa Marekani watapiga kura leo Jumanne kumchagua rais wao, ambaye atamrithi Rais Barack Obama....
View ArticleMHE DONALD TRUMP RAIS MPYA WA MAREKANI
Mgombea wa Chama cha Republican, Donald Trump ameshinda uchaguzi mkuu wa Marekani baada ya kufikisha kura 276 huku Hillary Clinton akiwa na kura 218.Hillary Clinton amempigia simu Rais Mteule wa...
View ArticleMAREHEMU SAMWEL SITTA AAGWA DAR NA DODOMA,KISHA KUSAFIRISHWA URAMBO TABORA...
Mhe Rais Magufuli akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Samwel Sitta katika viwanja vya Karimjee Jijini dar leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt . John Pombe Magufuli akimfariji Mama...
View ArticleMCHAGUA JIKO SIO MPISHI
Hii nadhani wengi wetu tumepitia na bado tunaendelea kutumia hasa uwapo sehemu kama vile mstuni kwa matembezi. Vyombo kama hivi ni muhimu sana kuwa navyo vipo vingi sana SIDO tena ni imara zaidi kuliko...
View ArticleVIDEO: THE BEST OF OBAMA'S PHOTOS
Katika kipindi cha miaka 8 ya urais wake nchini marekani, Mhe Barack Obama alipiga picha zaidi ya milioni 2, hapa nakuwekea clip ya picha zake zilizovutia wengi kwa namna alivyokuwa mtu wa watu wote.
View ArticleVYOO 100 KUJENGWA KWA AJILI YA WASAFIRI BARABARA YA MWANZA/SHINYANGA/DAR
Taasisi ya The Desk & Chair Foundation (TD& CF), inatarajia kujenga vyoo 100 katika Barabara Kuu ya Mwanza-Shinyanga-Dar es Salaam unaokadiriwa kutumia Sh. milioni 500.Mwenyekiti wa TD &...
View ArticleMALEZI KWA VITENDO YANA MATOKEO MAZURI ZAIDI
Sijui ni kwa kiasi gani umeweza kuwapa picha na mtazamo bora wa maisha hao watoto wako. Usisahau kwamba wao wanajifunza kwa asilimia 70 kutoka yale wanayokuona ukiyafanya na asilimia 30 tu kwenye yale...
View Article