MHE MAALIM SEIF AAZIMIA KUFUTA NYAYO ZA LIPUMBA KUSINI MWA TANZANIA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad anatarajiwa kuzuru mikoa ya Kusini mwa Tanzania katika kipindi ambacho bado kuna sintofahamu kuhusu nafasi ya Uenyekiti wa chama...
View ArticleMBUNGE WA ZAMANI WA NCCR MAGEUZI HUKO KIGOMA AHAMIA CCM
Napenda kuutaarifu umma wa Watanzania kupitia kwenu waandishi wa habari kwamba ni jambo la ajabu na aibu kwa watu makini na wenye kuhitaji mabadiliko ya kweli Kuacha kuunga Mkono juhudi zinazofanywa na...
View ArticleTANZANIA YA VIWANDA
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alianzia ziara yake kwa kukagua uendeshaji wa Kiwanda wa cha tambi cha TanzaniaPasta, kilichopo eneo la Viwanda, Vingunguti wilayani Ilala. akizungungumza...
View ArticleAUDIO: MHE RAIS MAGUFULI AKIONGEA NA SIMU NA RC WA DAR MHE PAUL MAKONDA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amempongeza mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda kwa juhudi anazofanya katika ziara yake kwa kusikiliza kero za Wananchi wa mkoa wa...
View ArticleWATOTO HAWA WAMEIGA AU KUJIFUNZA WAPI HAYA?
Tuwaonyeshe watoto mifano mema ili kuwajengea kesho nzuri
View ArticleRAIS WA ZAMANI WA CUBA; FIDEL CASTRO AFARIKI DUNIA
Rais wa zamani wa Cuba na kiongozi wa mapinduzi ya kikomunisti, Fidel Castro amefariki akiwa na umri wa miaka 90, mdogo wake Raul ametangaza.Amefariki usiku wa saa nne na dakika 22, kwa mujibu wa Rais...
View ArticleKAMPUNI YA MURO KUUZA MABASI NA MALI ZAKE NYINGINE
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko kubwa la nyumba kipigwa mnada, viwanja, magari, hoteli na mali mbalimbali kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa ni baadhi wa wakopaji kushindwa...
View ArticleUGENI WA MARAISI WAWILI NCHINI TANZANIA WIKI HII
Rais Magufuli leo amepokea Marais wa Mataifa mawili ya Tchad na Zambia kwa mialiko ya ziara za kikazi.Rais wa Chad Idriss Deby atakuwepo nchini kwa siku mbili katika ziara ya Kikazi; wakati rais wa...
View ArticleMBEYA YA PILI AFRIKA KWA WINGI WA MADHEHEBU
Jiji la Mbeya ni la pili kwa wingi wa madhehebu barani Afrika likiongozwa na Lagos lililopo Nigeria.Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Paul Ntinika, jiji hilo lina makanisa 450 na Mtaa wa Sae pekee...
View ArticleMARAIS WA TANZANIA NA ZAMBIA WAAZIMIA KUBORESHA ZAIDI TAZARA NA TAZAMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu tarehe 28 Novemba, 2016 wamekubaliana kuchukua hatua za haraka na madhubuti...
View ArticleNDEGE ILIYOBEBA WACHEZAJI WA BRAZIL YAPATA AJALI
Habari za kusikitisha katika ulimwegu wa soka ni kwamba, klabu ya Chapecoense ya Brazil imepata ajali baada ya ndege iliyokuwa imebeba wachezaji pamoja na viongozi kuanguka kwenye mji wa Medellin,...
View ArticleMTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ
Hakuna ubishi kuwa Princess Tiffah ndiye mtoto maarufu zaidi Afrika kwa sasa.Umaarufu wake unazidi kuongozeka kiasi ambacho wiki hii amefikishafollowers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.Ila katika...
View ArticleKIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE CHASITISHA UZALISHAJI KWA MUDA
UZALISHAJI katika kiwanda cha saruji cha Dangote kilichopo Mtwara umesimama kwa muda kutokana na hitilafu za kiufundi zilizojitokeza katika mitambo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dangote Tanzania, Harpreet...
View ArticleSMARTPHONES ZINAVYOFIFISHA UTU NA UBINAAMU WETU
IT'S VERY SAD....hapa ndipo tulipofikia.Hivi karibuni mzee mmoja aliyekuwa na baskeli aligongwa AKIWA KATI YA BARABARA...Watu wanapiga PICHA huku wakitania...ATAKUWA AMEVUNJIKA KIUNO(mocking).. Huku...
View ArticleTBL YAZINDUA MWONEKANO MPYA WA POMBE YA CHIBUKU KATIKA CHUPA
Watumiaji wa kinywaji maarufu cha nafaka kiitwacho Chibuku kinachouzwa sana katika Jiji la Dar, sasa watakuwa wakiburudika na kinywaji hicho kwenye chupa mpya ya ujazo wa nusu lita ambayo itauzwa kwa...
View Article