MHE BAKHRESA WA AZAM KUJENGA VIWANDA ZAIDI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa makampuni ya Azam Bwana Said Salim Bakhresa ambapo alimueleza waziri mkuu nia yake yakuendelea kujenga viwanda zaidi vya kusindika...
View ArticleMWL NYERERE AENZIWA KWENYE JENGO JIPYA LA UMOJA WA AFRIKA
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amezindua jumba jipya makao makuu ya Umoja wa Afrika ambalo limepewa jina la Rais mwanzilishi wa taifa la Tanzania, Julius Nyerere.Jumba hilo ambalo jina lake kamili...
View ArticleNDEGE 2 MPYA ZA AIR TANZANIA KUANZA SAFARI KESHO Oct 4; NAULI ZAO HIZI
Ndege mbili mpya za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombardier Q400 zinatarajia kuanza kazi wakazi wa mikoa ya Mwanza, Arusha na Zanzibar watakuwa wa kwanza kupata ofa.Ofisa Habari wa shirika...
View ArticleNYERERE DAY
Mwili wa Hayati Mwl. Nyerere ulipowasili nchini Tanzania Oktoba 18, 1999 kutoka nchini Uingereza.Mhe Zitto Kabwe asema haya anapokumbuka nyakati za NyerereKuipitia ukurasa wake wa Facebook Zitto kabwe...
View ArticleSIMU ZA SAMSUNG GALAXY NOTE 7 MATATANI
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku uingizaji na usambazaji wa simu za mkononi za Smartphone Samsung Galaxy note 7 kwa kuwa zina matatizo ya betri.TCRA pia imewataka wananchi ambao...
View ArticleKERO: BARABARA ENEO LA KISUTU MABASI YAENDAYO KASI
Barabara ya mradi wa mabasi yaendayo haraka katika kituo cha Kisutu,kilichopo katika Makutano ya barabara ya Libya na Morogoro,Mtaa wa Mtendeni,Kata ya Kisutu,Manispaa ya Kinondoni,Dar Es...
View ArticleBAADHI YA WASICHANA WALIOTEKWA NA BOKO HARAM NCHINI NIGERIA WAREJEA
Aprili 2014 zaidi ya wasichana 270 walitekwa wakiwa shuleni katika mji wa Chibok na wapiganaji wa Boko Haram, mpaka leo ikiwa ni baada ya zaidi ya miaka miwili tangu kutekwa kwa wasichana hao, Alhamisi...
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI HOSTEL ZA UDSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 Oktoba, 2016 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa mabweni 20 ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
View ArticleMRADI MKUBWA WA HOTELI YA KITALII KUJENGWA HUKO MATEMWE ZANZIBAR
Mmiliki wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii katika eneo la Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mkurugenzi wa Mradi huo Brain Thomson, akitowa maelezo kwa waandishi wa habari walipofika kutembelea mradi huo...
View ArticleUDAKU: HII INATOKEA TU TANZANIA
Ni Tanzania tu ambapo mdada anajua kabisa tarehe ya kuvalishwa pete ya uchumba (engagement), anashona nguo, na anakwenda saluni, halafu mwanaume mchumbiaji anapokuja na shamrashamra zote siku ya tukio,...
View ArticleMTUKUFU MFALME MOHAMED VI WA MOROCCO AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KISERIKALI...
chini ni sehemu ya ujumbe wa wafanyabiasha wa Morroco
View ArticleMHE BEN SITTA (CCM) NDIO MSTAHIKI MEYA MPYA WA KINONDONI
Meya mpya wa Kiondoni Mstahiki Ben Sitta, baada ya kushinda uchaguzi huko kwa kishindo jana
View Article