Tuzidi kumwomba Mungu Tanzania yetu iwe ya Amani maana watu wanateseka kwingineko
Wakati sisi tunafurahia amani tulonayo, nchi nyingi za Africa zipo katika machafuko ya kivita. Huko Irak ni zaidi ya ukatili dhidi ya binadamu wenzao. Tazama picha hapa chini