NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO SHULE ZA SERIKALI ZATANGAZWA
Nafasi za kujiunga na kidato cha nne mwaka 2014 kwa wanafunzi waliomaliza mwaka jana zimetangazwa rasmi muda huu jijini dare s salaam na naibu waziri wa TAMISEMI Bw KHASIM MAJALIWA ambapo zaidi ya...
View ArticleMSIMAMO WA FIFA WORLD CUP KAMA ULIVYO LEO
2014 FIFA World Cup™Group A#CountryGPWDLGFGAGDPTS1 Brazil110031232 Mexico110010133 Cameroon100101-104 Croatia100113-20Group B#CountryGPWDLGFGAGDPTS1 Netherlands110051432 Chile110031233...
View ArticleSAFARI NYINGINE ZATAKA MOYO
Kutokana na maendeleo duni ya miundo mbinu, sehemu nyingine inabidi watumie usafiri huu kuvusha watu na mizigo yakiwemo magari.
View ArticleBODA BODA SULUHISHO LA FOLENI DAR
Mheshimiwa Mbunge alipochukua usafiri wa BODABODA ili kuwahi usafiri wa ndege.
View ArticleHISPANIA YABANWA VIBAYA FIFA HII
Mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia, Timu ya Hispania, leo tena imechapwa na CHILE magoli 2 bila katika mechi iliyomalizika hivi pundeHii ndiyo timu ya Chile iliyowaangamiza HispaniaGolikipa wa...
View ArticleMAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
Najua huu ni msemo unaotumiwa san ana viongozi wetu, na bahati mbaya ni pale wanapoomba kura. Lakini tunawakumbusha kuwa wajitahidi kutekeleze ahadi zao maana kwakweli hali za walio wengi zinatisha....
View ArticleTAARIFA MUHIMU KUTOKA DART SEHEMU YA BARABARA MATAA UBUNGO KUFUNGWA KESHO...
Sehemu ya Barabara katika makutano ya Mandela na Morogoro sehemu ya Ubungo Mataa, itakufungwa kuanzia kesho usiku hadi Jumamosi asubuhi kupisha ujenzi wa barabara ya Mabasi yaendayo haraka. Wananchi...
View ArticleAJALI YA LORI KINYEREZI/UKONGA
Sheria za barabarani ikiwa ni pamoja na kuzingatia vigezo ya uzito unaokubalika ni muhimu
View ArticleENGLAND BYE BYE FIFA
Katika mechi ya jana, England imechapwa bao 2 kwa 1 na Uruguay. Kwa maana hiyo Uingereza haina point hata moja na hivyo kuzaaga mashindani baada ya mechi moja itakayofuata.Suarez akiifungia Uruguay...
View ArticleLEO NI SIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI
Tuzidi kumwomba Mungu Tanzania yetu iwe ya Amani maana watu wanateseka kwinginekoWakati sisi tunafurahia amani tulonayo, nchi nyingi za Africa zipo katika machafuko ya kivita. Huko Irak ni zaidi ya...
View ArticleAHADI YA KIZALENDO YA MHE.RAIS JAKAYA KIKWETE
Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete amesema atajitolea kurudi kufundisha katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi baada ya kumaliza awamu yake ya Uongozi katika nchi kama Raisi. Ameyasema hayo jana katika mdahalo...
View ArticleAJALI MAKONGO
Kuna ajali imetokea eneo la Makongo nje kidogo ya Mwenge Dar likihusisha Daladala ya abiria (Makumbusho-Kunduchi) na lorry.Inasemekana watu zaidi ya 10 wamepoteza maisha. **Picha za magari yalohusika...
View ArticleWAJERUMANI NGUVU SAWA NA GHANA
Katika mechi iliyomalizika hivi punde, timu za Ujerumani na Ghana zimetoka droo kwa kufungana goli 2.Mechi hiyo ya kusisimua ambayo kila moja ilikuwa na wachezaji ndugu Kevin Prince Boateng wa Ghana na...
View ArticleNAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
Nimeipenda picha hii iwe mwangaza wetu kwa siku ya leo. Katika maisha ni muhimu sana kujali utu wa mtu kwanza kabla ya makandomando ya nje. Nimewapenda maharusi hawa maana wameweka utu na upendo wa...
View ArticleMCHANGO WA MHE. GODBLESS LEMA KWA BUNGE LA BAJETI 2014
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ni miongoni mwa waliowasha vipaza sauti kwenye bunge la bajeti linaloendelea Dodoma ambapo sehemu ya alichochangia ni hiki kinachofata hapa chini. ‘Dola bilioni...
View ArticleUTAFUTAJI USIO SAHIHI
Wiki ya pilikapilika imeanza kila mmoja akijaribu kujitafutia riziki. Ila kwa wengine wanazitafuta kwa njia isiyo sahihi. Tuwe macho nao
View Article