$ 0 0 Kipindi hiki kuelekea sikukuu za xmas na mwaka mpya, kituo cha Mabasi Ubungo kimekuwa kikizidiwa wingi wa abiria kiasi cha kujikuta, daladala nazo zalazimika kusafirisha abiria wa mikoani