UJUE MGAHAWA WA STAA SHILOLE "Shishi"
Yapata Mwezi sasa umepita tangia Shilole afungue Mgahawa wake na tayari matunda yana onekana kwani mrembo huyo kupitia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio amesema anaingiza faida ya Laki Tano Tsh...
View ArticleXMAS NA USAFIRI
Kipindi hiki kuelekea sikukuu za xmas na mwaka mpya, kituo cha Mabasi Ubungo kimekuwa kikizidiwa wingi wa abiria kiasi cha kujikuta, daladala nazo zalazimika kusafirisha abiria wa mikoani
View ArticleSERIKALI YAPIGA MARUFUKU UAGIZAJI WA NYAMA YA KUKU KUTOKA NJE YA NCHI
Serikali imepiga marufuku kuagiza na kuingiza nyama za kuku waliochinjwa kutoka nje ya nchi ili kulinda afya za walaji wa bidhaa hiyo ya nyama nchini.Katazo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Kilimo...
View ArticleKWANINI WACHAGGA WENGI HUENDA KWAO KILIMAJARO KIPINDI CHA KRISMAS?
Nimeamua kuandika kipande cha waraka huu kutokana na kuwepo kwa dhana nyingi potofu juu ya wachagga kwenda kwao kipindi cha mwisho wa mwaka, maarufu kama "kwenda kuhesabiwa".Je ni kweli wachagga huenda...
View ArticleNAWATAKIA XMAS NJEMA
Baba Askofu wa Jimbo la Singida Askofu Edward Mapunda akimuombea na kumbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya Ibada ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo...
View ArticleUDAKU; HUYU NDIE MKE MTARAJIWA WA AY
Mwanamuziki Ay kwa mara ya kwanza amemtambulisha rasmi Mpenzi wake....Habari hii Leo imekuwa gumzo mitandaoni kwa wengi walikuwa wakijiuliza Ay mpenzi wake ni nani hasa baada ya Swahiba wake wa Karibu...
View ArticleUJENZI WA JULIUS NYERERE I AIRPORT WAFIKIA ASILIMIA 65
Tume ya mipango imefanya ziara katika mradi wa ujenzi wa jengo la III la abiria katika uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (Terminal III) jijini Dar es Salaam kwa lengo la kukagua maendeleo ya mradi huo...
View ArticleMAAMUZI YA RUFAA YA KESI YA MHE GODBLESS LEMA KUJULIKANA JAN 4,2017
Na.Vero Ignatus Arusha.Mahakama kuu kanda ya Arusha imesikiliza maombi ya rufaa yayaliyowasilishwa na upande wa jamhuri na ule wa mshtakiwa Godbless Lema ambapo pande zote mbili wamekubaliana...
View Article2017 BEI YA UMEME KUPANDA
Bei za umeme zimepanda kwa 8.5% badala ya 18.19% iliyopendekezwa na TANESCO.Ongezeko la bei ya huduma za umeme limetokana na kuzidi kwa gharama za uzalishaji wake.Shirika la umeme Zanzibar (ZECO)...
View ArticleTAHADHARI: KWA JOTO HILI .......
Jamani naomba nitoe tahadhari.Jua limekuwa kali mno na joto kuongezeka sana hasa Dar na kwingineko..viumbe hai vinahangaika makazi hayakaliki...nyoka, nge, tandu ambao si rahisi kuwasikia wanatembea au...
View Article