MHE RAIS MAGUFULI ASEMA BEI YA UMEME HAITAPANDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia Watanzania kuwa licha ya Mamlaka ya udhibiti wa huduma za Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) kuridhia ombi la TANESCO la...
View ArticleTANESCO YA KWANZA KUTUMBULIWA MWAKA MPYA
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesmi Mramba
View ArticleMAMBO YA KIJIJINI
Kuishi kijijini inabidi uwe mvumilivu...😬 Unaenda kuoga unakumbuka umesahau sabuni unaenda kuchukua,unafika bafuni unakuta ng'ombe amekunywa Maji yote😄Unaenda kuchukua mengine ile kurudi bafuni unakuta...
View ArticleKINADADA MNAOPENDA WENYE "SIX PACKS"
Imetokea hivi karibuni kuwa kama fashion,kina dada kuhangaika kuwa na mahusiano na wanaume waliojengeka miili yao,kitaalam tunawaita "six packs". Hali hii inaumiza wengine wanaohangaika kujenga hayo...
View ArticleUMOJA WA MATAIFA WAPATA VIONGOZI WAPYA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mhe. Antonio Guterres kutoka UrenoNaibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mhe Amina Mohammed kutoka Nigeria, nafasi ambayo iliwahi kushikiliwa na mhe Asha Rose Migiro wa...
View ArticleMADAWA YA KULEVYA SIO UJANJA NI MAJANGA
Nando ni kijana aliyeshiriki big brother mwaka 2013, kama mwakilishi wa Tanzania, kutokana na hali ngumu ya maisha kijana huyu alijidumbukiza kwenye janga kubwa la matumizi ya madawa ya kulevya Kwa...
View ArticleKESI YA MHE LEMA SASA MAHAKAMA YA RUFAA
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, leo imeshindwa kusikiliza rufani ya Jamhuri dhidi ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kupinga dhamana yake
View ArticleMhe.BAKHRESA AANZISHA KIWANDA CHA AZAM DAIRY PRODUCTS ZANZIBAR
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa wakikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa...
View ArticleWEMA SEPETU AHAMIA CHADEMA
Akizungumza na waandishi wa habari akiwa ameambata na mama yake mzazi nyumbani kwao Sinza Jijini Dar es Salaam, Wema amesema sababu kubwa ya kuhamia CHADEMA ni ili kupata nafasi ya kupigania demokrasia...
View ArticlePOLENI KWA UKIMYA WA MUDA MREFU WADAU
Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja nilishindwa kuwaletea habari na burudani kupitia blog yenu ya KARIBU NYUMBANI kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Nawashukuru kwa uvumilivu wenu na...
View ArticleMAFUTA YA KUPIKIA YALOKUWA BORA NA YENYE VIWANGO
Picha kwa hisani ya MAISHA NA MAFANIKIO BLOG
View ArticlePOMBE KALI KATIKA VIFUNGASHO VYA PLASTIKI (VIROBA) YAPIGWA MARUFUKU KUANZIA...
Mtakumbuka tarehe 20 Februari 2017 Ofisi ya Makamu wa Rais ilitoa tamko la Serikali la utaratibu utakaotumika kutekeleza agizo la kusitisha utengenezaji, uuzaji na matumizi ya pombe kali...
View ArticleUCHAMBUZI KUHUSU TOFAUTI KATI YA WASICHANA NA WANAWAKE
1. Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda.2. Wasichana hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao ila Wanawake hupima thamani...
View ArticleHATIMAE MHE MBUNGE GODBLESS LEMA AACHIWA KWA DHAMANA
Hatimaye Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema baada ya kusota gerezani kwa zaidi ya miezi minne. Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo...
View Article