$ 0 0 Imeandikwa utakula kwa jasho/tabu. Mungu aiona taabu yako, jitahidi na mtumaini yeye kwani ni muweza wa yote na atatenda kwa wakati. Ila jamani kuna kazi nyingine zatesa si kidogo, cheki jamaa alivyotota tope.