NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA WADAU
Imeandikwa utakula kwa jasho/tabu. Mungu aiona taabu yako, jitahidi na mtumaini yeye kwani ni muweza wa yote na atatenda kwa wakati. Ila jamani kuna kazi nyingine zatesa si kidogo, cheki jamaa...
View ArticleWIKI YA MIKIKI MIKIKI
Baada ya mapumziko ya mwisho wa wiki, sasa tunakimbizana tena kutafuta riziki. Tusichoke katika kuwajibika.
View ArticleKAZI HALALI NI........
Kwa mtu yeyote,Wa aina au jinsia yoyote,Mahali popote,Ya aina yoyote,Kwa wakati wowote,Kwa manufaa yoyote,ILI MRADI HAVINJI SHERIAPichani ni mtu anayeonekana kuwa ana asili ya China, akiwa katika...
View ArticleTASWIRA: MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa serikali na viongozi wa bunge maalum la katiba muda mfupi baada ya kuwaapisha Katibu na Naibu Katibu wa...
View ArticleP SQUARE WANATISHA
Pesaa huweza kufanya mengi. Mojawapo ni kupata maisha ya hadhi unayotaka. Pichani ni mazingira nadhifu ya wanamuziki PSQUARE.Hii ni sehemu ya kupata maakuli
View ArticleMTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO
Picha hii imepigwa mahali fulani kati ya mikoa yetu ya Tanzania (Jina limehifadhiwa) lakini yatuonyesha namna ambavyo tunapuuzia malezi ya watoto wetu. Mtoto huyu ambae leo anafundishwa na kuruhusiwa...
View ArticleMWANAUMEEEEEEEEEE
Mwanaume ni kupiga kazi kwa kwenda mbele. Haijalishi ipi, watasema nini... mradi fedha baba maana ukirudi nyumbani unakutana na mwanao kakaa hivi......maana kachoka kula hivi......
View ArticleKAZI NYINGINE ZATAKA MOYO NA UBUNIFU
Hapa mwalimu anajitahidi kuwapa wanafunzi elimu bila kujali mazingira duni ya kazi yake. Ubunifu ni muhimu katika kufanya kazi na kujiongezea kipato japo ni katika mazingira magumu.
View ArticleKUNA LEO NA KESHO
Ndege anapokuwa hai huwa anakula sana funza, lakini anapokufa funza humla yeye.......Maisha yanabadilika kila wakati, hivyo basi usimdharau wala kumuumiza mtu yoyote yule katika haya...
View ArticleNAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
Hii ni namna mpya ya kusalimiana. Ni kama vile wanasema "tunafanya hivi ili kuendelea kuifanya Jumapili kuwa siku takatifu".
View ArticleMIAKA 5 TANGU KUONDOKEWA NA BABA MZAZI
Mwandishi wa Blog hii leo anaungana na wanafamilia, Ukoo wa Mwangoka na Swai kufanya kumbukumbu ya miaka 5 tangu kuondokewa na baba yao kipenzi Mzee Amedeus Mwangoka Huko Sanya Juu-Kilimanjaro. Anaomba...
View ArticleTASWIRA YA UWAJIBIKAJI
Tukiangalia taswira hii tunapata mengi ya kujifunza. Miongoni mwa hayo ni:-"Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo" Mtoto huyu japo katika udogo wake kashaanza kuiga wanachokifanya wazazi au ndugu zake....
View ArticleKITUO CHA MABASI MOSHI
Madreva na wamiliki wa mabasi yaendayo Arusha na sehemu nyingine ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro yakianzia Kituo hiki cha Moshi, wameweka mgomo wa kutopeleka magari yao stendi leo kutoa huduma, na hatimae...
View ArticleTUKUMBUKE KWETU
Maneno ya khanga lakini yanasema kitu. Basi nami nimeonelea niwape wadau zawadi ya taswira hii ya kwetu.
View Article