YATAKA MOYO NA INATIA HURUMA
Mtoto huyu nae anatamani anywe maji safi na salama lakini ndo hivyo katika mazingira alipo hakuna huduma hiyo. Hapa msaidizi wake ni mungu tu maana wanyama wanatumia maji hayo hayo na yeye pia, ni...
View ArticleRAIS OBAMA AMTEMBELEA PAPA FRANCIS 1 HUKO VATICAN
"Wonderful meeting you. I'm a great admirer," the president said."I bring greetings from my family," Obama added. "The last time I came here to meet your predecessor I was able to bring my wife and...
View ArticleMALEZI NI HATUA
Katika ukuaji kuna hatua ambazo mtu hupitia hadi ukuaji wake mtimilifu. Hatua kama hii wanayopitia hao japo kwao ni kama kucheza tu lakini yawajenga na hapo baadae kuishi vizuri kifamilia kama mke na...
View ArticleNAWATAKIA JUMAPILI NJEMA.
Kwakweli wetu Tz tuna shida ya usafiri lakini wenzetu huko wamezidi
View ArticleMVUA ZA MASIKA KIZAAZAA MAENEO MENGI TANZANIA
Hii ni sehemu ya mto Msimbazi maeneo ya Jangwani Jijini Dar es SalaamHuko Lindi nako Daraja limeezuliwa na maji na hapa wananchi wakijaribu kutengeneza kivuko cha mudaHali ya tope katika Kituo cha...
View ArticleWAKAWATAMBUENI KWA MATENDO YENU
Huu ni msemo nzuri ambayo waonyesha naona ya kuelekeza jema la kufanya kwa kutenda na sio kusema tu "wewe fanya hivi" lakini mwenyewe hutendi. Ni hamasisho kwa wazazi kuwafundisha watoto wao yale...
View ArticleELIMU YA KUJITEGEMEA lakini mmmmm
Wanafunzi wa shule ya msingi wakitoka kuteka maji ya kupikia na kudekia.Hawa nao wametoka kuokota kuni za kupikia
View ArticleNAKUMATT KARIBU TANZANIA
Moja ya maduka makubwa ya bidhaa mbalimbali nchini Kenya ya Nakumatt inatarajiwa kuja kuchukua nafasi ya maduka ya Shoprite yaliyopo nchini kuanzia katikati ya mwaka. Maduka haya ya Shoprite...
View ArticleVIONGOZI WA MFANO WA MAISHA YA UNYENYEKEVU
Baba wa Taifa Mwl.Julius Nyerere akiwa anaendesha baiskeli katika mojawapo ya safari zake.Raisi wa Uruguay Mhe Jose Mujica akiwa katika usafiri wake wa gari maarufu kama "kobe"
View ArticleJUMAPILI NJEMA WADAU : IMANI YAWEZA
MTOTO WA MIAKA NANE APONYA WATU HUKO BRAZIL KWA KUWAOMBEA NA KUKEMEA PEPO KWA JINA LA YESUBinti Alani Santos wa Mji wa San Gonzalo huko Brazil anasadikiwa kuwa na kipaji cha kuombea watu wanaosumbuliwa...
View ArticleMWACHENI MUNGU AITWE MUNGU
Hii ni jamii ya watu wa kijiji cha Bazoule kilichopo nje kidogo ya Mji mkuu wa Burkina Faso.Kwa mujibu wa wanahistoria, jamii hii ilianza kuishi na mamba yapata miaka 600 iliyopita.
View ArticleKUMEKUCHA SASA TUKATAFUTE RIZIKI
Ni asubuhi sasa na naamini wadau wangu mu wazima. Twendeni tuwahi tukatafute riziki zetu za kila siku kwani imeandikwa "Asiyefanya kazi na asile". Mola atutangulie katika kila jambo. Nawatakia wiki njema
View ArticleHONGERA Mhe. RIDHIWANI KIKWETE: "LIKE FATHER,LIKE SON"
Baada ya kampeni za muda kuwania Ubunge Jimbo la Chalinze, hatimaye CCM kupitia mgombea wake Mhe. Ridhiwani Kikwete (mtoto wa kiume wa Rais Mhe. Jakaya Kikwete) amepata ushindi wa kishindo wa kura...
View ArticleHAPO ZAMANI ZA KALE..........................
Haya ndio yalikuwa mafuta maarufu ya kupikiaHuu ndio ulikuwa usafiri wa viongozi wa kitaifaHuu ndio ulikuwa usafiri wa mabasi ya Abiria (KAMATA na TANGANYIKA BUS)Baadhi ya vitabu mashuleni vilikuwa hivi
View Article