$ 0 0 Barabara ya juu huko Brazil yanakofanyikia mashindano ya Kombe la Dunia mwaka huu, imeanguka. Hata hivyo mamlaka husika zinafanya kila linalowezekana kuhakikisha mawasiliano ya barabara hiyo yanarudi inavyotakiwa mara moja