UTALII WA NDANI: MTOTO AONYESHA MFANO
Mtoto Idda Baitwa (katikati)akijiandaa kukwea mlima kilimanjaro kwa kupitia njia (Mweka Route)inayosadikiwa ni ngumu kwa wakweaji mlima.
View ArticleWACHEZAJI WA UJERUMANI WAUGUA
Habari zinasema kuwa wachezaji 7 wa Timu ya Ujerumani wameugua Mafua na koo ghafla huko Brazil ikiwa ni siku moja kabla ya mechi yao na Ufaransa hapo kesho
View ArticleBARABARA YAANGUKA BRAZIL
Barabara ya juu huko Brazil yanakofanyikia mashindano ya Kombe la Dunia mwaka huu, imeanguka. Hata hivyo mamlaka husika zinafanya kila linalowezekana kuhakikisha mawasiliano ya barabara hiyo yanarudi...
View ArticleUGAIDI TISHIO KWA NCHI CHANGA ZA AFRIKA
TISHIO UWANJA WA NDEGE ENTEBBEUbalozi wa Marekani nchini Uganda umetahadharisha uwezekano wa kutokea shambulizi la Kigaidi kutoka katika kundi lisilojulikana.
View ArticleUJERUMANI YAFUZU NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA
Timu ya Taifa ya Ujerumani imefanikiwa kutinga nusu fainali baada ya kuichapa Ufaransa kwa bao 1 kwa bila, mchezo uliomalizika hivi pundeMats Hummels aliyefunga goli lililoipeleka Ujerumani Nusu Fainali
View ArticleBRAZILI KUKUTANA NA UJERUMANI NUSU FAINALI
Timu ya Brazil imefanikiwa kuingia nusu fainali kombe la Dunia baada ya kuifunga Columbia 2-1 katika mchezo wa kufurahisha ulomalizika hivi punde. Magoli yote ya Brazili yalifungwa na Mabeki wa Timu...
View ArticleARGENTINA WAINGIA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA
Timu ya Argentina iliyo na mchezaji maarufu Lionel Messi wamefuzu kuingia nusu fainali Kombe la Dunia baada ya kuichapa Ubelgiji 1-0 katika pambano kali lililomalizika hivi punde. Gonzalo Higuain...
View ArticleSHILINGI MIA TANO YA SARAFU KUJA HIVI KARIBUNI
sarafu ya shilingi mia Tano inatarajiwa kuzinduliwa na Benki Kuu ya Tanzania. Sarafu hiyo itatumika sambamba na noti za shilingi mia Tano huku zikiwa zinaondolewa taratibu. Hayo ni kwa mujibu wa...
View ArticleUHOLANZI NA COSTARICA UWANJANI
Dakika 90 zimeisha bila timu yoyote kuona lango la mwenzie. Dakika 30 za nyongeza zinaanza kutumika sasa.
View ArticleUSHINDI WA KILA JAMBO WAPATIKANA KWA JUHUDI NA UVUMILIVU MWINGI
Vijana waliomaliza Kidato cha Sita wakiwa katika moja ya mazoezi katika Kanbi ya JKT. Ulinzi wa nchi wahitaji watu wakakamavu na walioandaliwa vizuri.
View ArticleHONGERENI UHOLANZI. WATINGA NUSU FAINALI KWA PENATI
Timu ya Uholanzi imetinga nusu fainali baada ya kucheza dakika 120 bila kufungana, kisha kupiga mikwaju ya penati ambapo Costarica ilipoteza 2. Uhodari wa Kocha Van Gaal kumbadili mlinga mlango dakika...
View ArticleMAONYESHO YA SABASABA MWAKA HUU KIWANGO KIZURI
Banda la TTCLBanda la UN. Banda la PSPFMbogamboga katika Banda la Jeshi la MagerezaBanda la Banga MagazineBanda la NSSFMashine za kutolea hela za Selcom wireless ambapo waweza kupata pesa kutoka...
View Article