$ 0 0 Timu ya Taifa ya Ujerumani imefanikiwa kutinga nusu fainali baada ya kuichapa Ufaransa kwa bao 1 kwa bila, mchezo uliomalizika hivi pundeMats Hummels aliyefunga goli lililoipeleka Ujerumani Nusu Fainali