$ 0 0 Timu ya Argentina iliyo na mchezaji maarufu Lionel Messi wamefuzu kuingia nusu fainali Kombe la Dunia baada ya kuichapa Ubelgiji 1-0 katika pambano kali lililomalizika hivi punde. Gonzalo Higuain akipiga shuti la nguvu kuifungia Argentina bao pekee.