$ 0 0 Katika Tamasha la matumaini,mchezaji Ali Kiba wa Bongo Fleva akimtoka mchezaji Issa Musa Cloud 112 wa Bongo Movie. Katika mchezo huo Bongo Fleva walishinda 1-0