ENZI ZA MWALIMU......
Enzi za Mwalimu Nyerere hizi zilikuwa pesa halali na zenye thamani kubwa. Leo zimebaki kuwa urembo tu. Ipi tathmini ya thamani ya fedha yetu?
View ArticleEID MUBARAK WADAU
Umati wa waamini wa kiislam waliohudhuria swala ya Eid el Fitr huko uwanja wa Maisara ZanzibarViongozi wa Serikali na dini waliohudhuria swala hiyoSwala ya Idd el fitr katika Masgid Maamur Upanga...
View ArticleHONGERA DIAMOND PLATNUMZ
Diamond Platnumz akionesha tuzo yake aliyoshinda kwa baadhi ya vyombo vya habari na mashabiki waliofika kumlaki,mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi...
View ArticleHONGERA RAIS WETU MHE. J KIKWETE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa tuzo ya kimataifa – zamu hii kwa kuwa mshindi waTuzo la Nyota wa Demokrasia Afrika 2014 – Icon of...
View ArticleEBOLA NA UKIMWI
Wakati ulimwengu bado unahangaika kutafuta tiba ya ugonjwa wa Ukimwi,sasa nayo Ebola yaibuka upya. Tunachojiuliza ni kuwa hivi kweli ni mtu alikaa kabisa akatengeneza hivi virus vya Ebola na Ukimwi...
View Article"WANAUME WA AFRIKA,WAWEZESHENI WANAWAKE KUTOKA KIMAISHA"MHE MICHELLE OBAMA
Michelle Obama, mke wa rais wa Marekani amewataka wanaume wa Afrika kuwasaidia wanawake katika vita vya kuleta usawa wa jinsia kote duniani. Akizungumza katika kikao cha kufunga mkutano mkuu wa kwanza...
View ArticleWAKATI MWINGINE HUWA NAJIULIZA..............
Hivi mtoto kama huyu aliyezaliwa kwenye nchi nzuri yenye sifa nyingi nzuri duniani, asubuhi ameamka na kuwahi shuleni kwa miguu, kisha mchana anaporudi inabidi ahangaike kujitengenezea chakula chake...
View ArticleTUJIHADHARI NA HAWA TRAFIKI FEKI.....
Mheshimiwa Kamishna Kova akionyesha kidole kwa Askari feki aliyenaswa huko Chamazi Mbagala-Dar
View ArticleALI KIBA KWENYE KANDANDA NAE YUMO EEE
Katika Tamasha la matumaini,mchezaji Ali Kiba wa Bongo Fleva akimtoka mchezaji Issa Musa Cloud 112 wa Bongo Movie. Katika mchezo huo Bongo Fleva walishinda 1-0
View ArticleNCHI MASKINI AMBAYO ARDHI YAKE IMEBARIKIWA
Waziri Mkuu mhe.Mizengo Pinda akitazama ndizi katika Maonyesho ya NaneNane huko Mwanza.
View ArticleNAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
Nawaomba kwa kimya cha muda kidogo.Kulikuwa na mambo yaliyokuwa nje ya uwezo wangu kunifanya nishindwe kupost habari. Ila sasa karibuni tena nyumbani.
View Article