HILI HALIKUBALIKI
Nafasi ya upendo kwa binadamu haipaswi kulinganishwa na ya mnyama mwingine.
View ArticleUONGOZI WAHITAJI FADHILA NYINGI MOJAWAPO UNYENYEKEVU
Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akipanda Treni ya Tazara kuelekea Kisaki Morogoro katika moja ya ziara zake hivi Karibuni.Waziri Mkuu wa Uingereza mhe.David Cameroon akiwa anasafiri katika moja ya...
View ArticleKAZI; KAMA SEHEMU MBILI ZA SHILINGI VILE
Wakati mwingine anawajibika sana kimajukumu, mwingine wakati wa kazi kajistarehesha anavyojua.
View ArticleNAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
Pengine wapo mbio kwenda Kanisani kusali. Hiki ni kipaji kikikuzwa kitaleta manufaa. Hawa ndo wabunifu wa baadae
View ArticleUDAKU_NDOA YA DIAMOND NA WEMA MBIONI
Msanii anayependwa sana kwa sasa Bongo Diamond Platnumz amegusia kuwa anatarajia kufunga ndoa na mpenz wake wa muda mrefu Wema Sepetu. Anasema kwakuwa ana washabiki wengi inawezekana hata akapanga...
View ArticleMICHEZONI: BALOTELLI AHAMIA LIVERPOOL
Mchezaji wa zamani wa Man City ambaye mpaka siku za karibuni alikuwa akichezea AC MILAN ya Italy amehamia rasmi timu ya Liverpool ya Uingereza
View ArticleUJIRANI MWEMA
Mjane wa Rais Mkongwe wa Afrika Kusini Mama Graca Machela akilasilimiana na Mama Salma Kikwete alipotembelea Ofisi za WAMA hapo jana jijini Dar es Salaam. Mgeni akipokea zawadi
View ArticleZANZIBAR KUPATA UWANJA MPYA WA KISASA WA NDEGE
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeanza mchakato wa Ujenzi wa Uwanja mpya wa Kimataifa wa ndege ambao utaendana na hadhi za kimataisha na kukidhi haja ya wasafiri kwa sasaMwonekano wa uwanja huo baada...
View ArticleUSINGIZI HAUNA PENYEWE
Hata kama ni kuchoka lakini usalama pia uzingatiwe unapohitaji kupata usingizi
View ArticleSHERIA KWA WOTE
Hapa anaonekana Askari wa Usalama Barabarani akikagua gari walilokuwa wanaendesha watoto hawa. Ama kweli sheria inabana wote sawasawa kadiri ya matumizi
View ArticleUNAPOINGILIA ANGA ZA WENGINE.....
Picha hizi zaonyesha wanyama wanavyojihami hasa wale wasio wa eneo hilo wanapoingilia anga zao
View ArticleHUYU NDIYE ALIYEGUNDUA MADINI YA TANZANITE
Mzee Jumanne Ngoma wa Makanya Samer, Kilimanjaro ndiye anayesadikiwa kugundua madini hayo mwaka 1967
View ArticleRONALDO WANASOKA BORA WA ULAYA
Cristiano Ronaldo anachukua ubingwa wa Mwanasoka bora wa Ulaya akiwapiku washindani wenzake Manuel Neuer (Golikipa wa Ujerumani)na Robben wa Uholanzi. Amekabidhiwa ushindi huu jana huko Monaco Ufaransa
View ArticleUBUNIFU
Wakati wengine wakigundua umaarufu wa kutengeneza Hoteli katika Meli zilizoegeshwa Pwani ambayo hazitumiki tena, Huko Ghana wajanja wamejenga Hoteli nzuri ndani ya ndege.
View ArticleKWA WALE WALIOANZA WKEND,NAWATAKIA WKEND NJEMA
Tujitahidi kila kitu kwa kiasi, kisheria na umakini
View Article