Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Browsing all 2089 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAUSIA MAZURI YA BABA KWA MANAE WA KIUME

1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE WAJUA?..........

Kama unataka kujua zaidi ---> Mwezi huu una Ijumaa 5, Jumamosi 5 na Jumapili 5. Hii hutokea mara moja tu kila baada ya miaka 823. Mara ya mwisho ilikuwa mwaka 1191. Baada ya hii ya mwaka huu wa 2014...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUALA LA VIGODORO LIPUKIWE MACHO DHIDI YA MAADILI

Pamoja na kuendelea kufurahia weekend, lakini tunaiomba serikali ielekeze nguvu katika suala zima la maadili dhidi ya Kundi linalojihusisha na burudani zijulikanazo kama Vigodoro.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA MAGAZETINI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UDAKU: LULU KATUPIA VAZI LA HESHIMA ,HONGERA ZAKE

Wakati mwingine unajiuliza kulikoni? katika ndio binadamu tulivyo. Kubadilika ni kawaida ila mabadiliko kutoka kubaya kwenda kuzuri ndo yatakiwayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAWATAKIA WADAU SEPTEMBA NJEMA

View Article

MHE. AGUSTINEMREMA(MB) amshitaki MHE.MBATIA KWA RAIS

MBUNGE wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP), amemwomba Rais Jakaya Kikwete amnyang’anye ubunge Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia. Mrema alitoa ombi hilo juzi mjini Dodoma, alipokuwa akizungumza katika kikao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA MAGAZETINI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLOSE,LAHM NA MERTESACKER WAPEWA TUZO ZA HESHIMA

Hayo yalifanyika jana ambapo timu ya Ujerumani iliyochukua Kombe la Dunia 2014 ilipokuwa na mchezo wa kirafiki na Argentina waliyokutana nayo katika Fainali za kombe la Dunia. Hata hivyo wababe hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA

Mhe,Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha na bibi Sara Obama, Bibi wa Rais wa Marekani Mhe Baraka Obama.Bibi huyu yupo mbioni kuzindua taasisi yake ya Sara Obama Foundation huko Kogelo,Kenya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HILI HALIKUBALIKI

Nafasi ya upendo kwa binadamu haipaswi kuchukuliwa au kulinganishwa na ya mnyama mwingine.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI MBAYA YA MABASI YA ABIRIA MUSOMA

Ajali mbaya kuwahi kutokea Musoma ikihusisha basi la Mwanza Coach lililokuwa likitoka msm-mwz na J4 Bus lililokua likitoka mwz-sirari, Pia likihusisha gari dogo aina ya Nissan Murano ambapo wawili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMEKUCHA TENA BUNGENI

Pendekezo la Rasimu ya Katiba kuwa wabunge walau wawe na elimu ya kidato cha nne limetupiliwa mbali na wajumbe wa Bunge Maalumu, baada ya Kamati karibu zote kulikataa. Kamati hizo zimependekeza kigezo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI ZA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEEKEND NJEMA

Najua mapumziko ya mwisho wa juma ndo yanaendelea. Nawatakia wapenzi wote wa Blog hii mapumziko mema. Ila tuwe makini tunavyoitumia weekend yetu. Tuwe karibu na watoto na wanafamilia, tuwe makini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TULIKOTOKA NI MBALI...

Pengine nimeonelea ni vizuri kujikumbusha mambo yalivyokuwa miaka kadhaa ilopita ili iwe changamoto kwa kizazi cha sasa. Ni vizuri kujua tulikotoka ili kama kuna mazuri tuige au mabaya tuzidi kuepa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIAKA 50 YA JWTZ

Mhe. Rais Jakaya Kikwete akitunuku nishani katika maadhimisho ya Miaka 50 ya JWTZ Jeshi la Wananchi wa Tanzania huko Monduli Arusha

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SARAFU MPYA YA SHILINGI 500

Kurugenzi Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Boaz (wa kwanza kulia) akiwaeleza waandishi wa habari (Hawapo Pichani) sababu zilizopelekea kutoa toleo jipya la sarafu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO YA KUJIWEKA FIT KIMWILI NA KIAKILI.

Hapa hakuna cha mzee wala mtoto, mwanaume au mwanamke.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIONGOZI WA AL SHAABAB AUAWA

Wapiganaji wa AlshabaabKundi la wapiganaji wa kisomali Al-shabaab limethibitisha kuwa kiongozi wake Ahmed Abdi Godane aliuawa siku ya jumatatu katika shambulizi la angani lililotekelezwa na wanajeshi...

View Article
Browsing all 2089 articles
Browse latest View live