$ 0 0 Wakati wengine wakigundua umaarufu wa kutengeneza Hoteli katika Meli zilizoegeshwa Pwani ambayo hazitumiki tena, Huko Ghana wajanja wamejenga Hoteli nzuri ndani ya ndege.