$ 0 0 Mhe. Freeman Mbowe amechaguliwa tena kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Chini ni Mheshimiwa Mbowe akiwa na Viongozi wengine wa Chama hicho.