SUMU YA WACHEPUKAJI. BAKI NJIA KUU
Wengine wamefikia huku kabisa, kwanini usibaki njia kuu sasa.Haya sasa hii tena ni zaidi...Upo Twitter, Hapana, Upo Facebook Hapana, ........
View ArticleTUWAPE WANAFUNZI MAZINGIRA BORA YA KUJIFUNZA
Ni Jumatatu ambapo wanafunzi wanaanza wiki ya pilika pilika za kutafuta elimu . Lakini nina uhakikwa kwa wanafunzi wa maendeo haya wanapofikiria taswira hizi hata hamu ya kwenda shuleni...
View ArticleSAFU MPYA YA UONGOZI CHADEMA
Mhe. Freeman Mbowe amechaguliwa tena kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Chini ni Mheshimiwa Mbowe akiwa na Viongozi wengine wa Chama hicho.
View ArticleJIJI LETU DAR NA ADHA YA MVUA
Miundo mbinu katika jiji letu bado sio mizuri kwakweli maana mvua ya juzi na jana tu adha yake ndo hii
View ArticleUJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME KINYEREZI DAR WARIDHISHA
Kituo cha kupokela Gesi Kinyerezi Dar ambapo hufua umeme.
View ArticleKATIKA KUDHIBITI MAANDAMANO YA CHADEMA, ULINZI WA KUTOSHA
Hivyo ndivyo hali ilivyokuwa Dodoma leoNako Jijini Dar hali ilikuwa Tete pale Kiongozi wa Juu CHADEMA alipokuwa anaingia Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mahojiano
View ArticleKWA HUYU PESA INA MATUMIZI MENGINEEEE
Maisha jamani kila mtu alivyoumbwa tu. Huyu mwenzetu pengine alipewa hizi dola ili akanunua mahitaji yake ila kwakuwa kwake hela sio kitu cha msingi basi anaitafutia matumizi katika ya mahitaji ya...
View ArticleKUKOBOA MAHINDI KINYUMBANI NYUMBANI.
Raha ya nyumbani kila kitu kinapoandaliwa kiasilia(Picha kwa hisani ya Mjengwa Blog)
View ArticleUJASIRIAMALI: UWAJIBIKAJI NA KUJITUMA KUTABORESHA MAISHA
Moja ya maduka madogo ya maeneo ya vijijini na mtaani ambayo raia hujipatia mahitaji yao ya kila siku. Kuendelea kuwajibika,kutunza mtaji, kuboresha mauzo kutampelekea mjasiriamali huyu baadae kuwa na...
View ArticleSCOTLAND KUENDELEA KUWA SEHEMU YA UNITED KINGDOM/UINGEREZA
Jana ilipigwa kura kwa wanaotaka Scotland kuwa Nchi yenye mamlaka kamili na sio kuwa mshirika wa UK pamoja na England na Wales. Hata hivyo 45% walitaka nchi hiyo ijitenge ila 55% wakataba ibaki sehemu...
View ArticleUTALII MWINGINE WATAKA MOYO
Hapa watalii wamejifungia kwenye gari kuwatazama simba. Kawaida tungetegemea simba hao ndo wawe kwenye uzio huo.
View Article