SHULE ZETU
Kesho ni Jumatatu wanafunzi wanarudi shuleni kupambana na kitabu.Lakini kwa watoto kama hawa wa shule ya Awali huko Songea wanaenda shule ila mazingira ya usomaji hayaridhishi kabisa. Serikali tupieni...
View ArticleKUDUMISHA MILA
Wazee wa Kimasai wakila nyama mara baada ya kupata semina kuhusu LISHEHapa mtoa mada akiongea na wanasemina
View ArticleUBUNIFU WA KWELI
Pengine tatizo letu ni kipato, uongozi bora na tekinolojia, lakini vichwa vimejaa mawazo mazuri na endelevu
View ArticleMAZAO YA NYUMBANI
Kinamama wakiuza mikungu ya ndizi katika moja ya masoko huko Kilimanjaro
View ArticleDALADALA ZA BONGO DAR ES SALAAM
Ukitoka nyumbani inabidi uwe umeshiba vizuri maana pilika za kupata usafiri wa daladala katika baadhi ya maeneo ya Jiji ni tabu sana. Hakuna cha mwanaume wala mwanamke, hapa ni"MWENYE NGUVU...
View ArticleKWA WAKWE HESHIMA TELE, CHEO PEMBENI
Mhe Mama Tunu Pinda akipiga goti kusalimia wakwe zake alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda huko Kibaoni Katavi.
View ArticleMOVIE MPYA KALI SOKONI. WAHI NAKALA YAKO
Imeshirikisha wakali wa Bongo Movie. Itakuwa sokoni kuanzia kesho 25.09.2014. Usikose nakala yako kama wewe ni mpenzi wa Bongo Movies.
View ArticleHABARI NJEMA KWA WASAFIRI WA ANGA
Shirika la ndege la Etihad Airways (http://www.etihad.com) ni shirika la ndege la kitaifa la Umoja wa Falme za Kiarabu, ambalo linatarajia kuongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya...
View ArticleUPENDO KWA VITENDO
Pamoja na mafuriko hayo mama huyu amesukumwa na moyo wake kuona afanye hili ambalo mbele ya Mungu ni baraka tele na mbele ya watu ni funzo kubwa.
View ArticleMASLAHI YA MVUA KWA MICHEZO YA WATOTO.
Kama hujiamini, usithubutu kujaribu kuteleza hapa. Utoto raha...
View Article