$ 0 0 Ukitoka nyumbani inabidi uwe umeshiba vizuri maana pilika za kupata usafiri wa daladala katika baadhi ya maeneo ya Jiji ni tabu sana. Hakuna cha mwanaume wala mwanamke, hapa ni"MWENYE NGUVU MPISHE"Mambo ya Tandika huko Wilayani Temeke