$ 0 0 Bodaboda wa Mjini Mbeya wameilalamikia serikali kwamba inawatwika mzigo mkubwa kwa ushuru mbalimbali na pia tamko la hivi karibuni kwamba wanunue mtungi wa gesi ya zimamoto.