HALI HII MPAKA LINI?
Abiria wakigombania kuingia kuingia kwenye daladala hadi wengine wanapitia mlango wa dereva. Hii ni hatari na sio jambo la busara. Tunaomba Serikali izidi kuongeza nguvu kutatua tatizo hili
View ArticleUKATILI DHIDI YA NDUGU ZETU ALBINO:MAKALI YA SHERIA
Na hawa wanne hapa chini wamehukumiwa kifo kufuatia kumuua Zawadi Magimbu (32) mlemavu wa ngozi huko Geita.Kutoka kushoto ni Nasoro Charles, Singu Siantemi, Masaru Kahindi na Ndahanya Lumola. Picha na...
View ArticleWATOTO WA DOT (.) COM
BABA: Mwanangu mbona leo umewahi kuamka kwenda shule kulikoni?...MTOTO: Namuwahi mwalimu wa bagia!BABA: Mjinga sana wewe badala yakuwahi elimu wewe unawahi bagia!! MTOTO: Baba unajua kiukweli kabìsa...
View ArticleKITUO CHA MATANGAZO AZAM TV CHAZINDULIWA RASMI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza rasmi kuzinduliwa kwa studio mpya za stesheni ya Azam TV Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015. Pamoja naye kwenye kilinge cha utangazaji ni mmiliki...
View ArticleDAKTARI FEKI, ASKARI FEKI, SASA "PADRE FEKI"
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mkazi wa Manispaa hiyo, Josephat Asenga (47), mwenye taaluma ya uhasibu, kwa tuhuma za kujifanya Padri.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo,...
View ArticleBODABODA MBEYA WALALAMIKA
Bodaboda wa Mjini Mbeya wameilalamikia serikali kwamba inawatwika mzigo mkubwa kwa ushuru mbalimbali na pia tamko la hivi karibuni kwamba wanunue mtungi wa gesi ya zimamoto.
View ArticleSIKU YA WANAWAKE DUNIANI: NANI KAMA MAMA?
Tunawapongeza wanawake wote popote walipo kwa mchango wao katika jamii,matunzo,malezi, ustahimilivu, busara zao na faraja zao. Kweli mwanamke ni kiumbe muhimu katika maisha. Nani kama mama?Tuzidi...
View ArticleVITUKO VYA LEO
Ukiangalia kwa haraka haraka huyu jamaa na hii Tshirt yake ya mwaka 2015, unaweza hisi katokea mkoa gani hapa Tanzania???? Huyu nae katoa mpya. Nivea imekuwa Yoghurt.... Jamani ASAS LTD jitahidini...
View ArticleSASA WATEJA WA VODACOM HUDUMA ZA MPESA ZAUNGANISHWA NA KENYA
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa kutuma na kupokea pesa nchini Kenya kwa njia ya M-PESA. Uzinduzi huo ulifanyika jijini...
View ArticleUSHABIKI WA MPIRA WA MIGUU.
Hii ni kutokana na Mechi ya hivi karibuni kati ya Man U na Arsenal ambapo Man U ilizamishwa 2-1 ambapo Man U ilitolewa Kombe la FA
View ArticleMHE. ZITTO KABWE AVULIWA UANACHAMA-CHADEMA
Baada ya Mahakama Kuu Tanzania kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa na Zito Kabwe dhidi ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) ya kuhoji uhalali wa uanachama wake...
View ArticleKILIMANJARO NA ARUSHA YAPANIA KUKIDHI UHABA WA UMEME UMEME IFIKAPO JUNI 2015
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ikiendelea na ziara katika eneo la kituo cha kupooza na kusambaza umeme kilichopo Njiro nje kidogo ya jiji la Arusha.Meneja Mradi katika Kituo cha Kupooza...
View ArticleAJALI MBAYA YA BASI LA ABIRIA IRINGA
Taarifa za awali kutoka jeshi la polisi mkoani Iringa zinaeleza kuwa basi la kampuni Majinja lenye usajili wa namba T438 CDE lililolaliwa na Lori lilikuwa limebeba jumla ya watu 49, idadi hiyo ni...
View ArticleUVUMILIVU UNAPOFIKIA KIKOMO......
MKURUGENZI wa Jiji la Mwanza, Halifa Hassan Hida ameingia katika kashfa nzito baada ya mwanaharakati aliyefahamika kwa jina la John Masweta kutinga kwenye geti kuu la Makao Makuu ya Jiji la Mwanza jana...
View ArticleTULIKOTOKA NI MBALI: MTAZAME HAPA DIAMOND PLATNUMZ
Hapana chezea mtoto na andazi au kinyango cha nyama;anadekaje!!!!Pesa sabuni ya roho asikwambie mtu.
View ArticleHAPANA CHEZEA HISABATI
Picha hizi zanikumbusha sana mwanzo wa kuanza kujifunza kuhesabu unapoingia Darasa la kwanza kipindi hicho. Bila "visude" (Vizibo vya chupa ya soda au ya bila) au wakati mwingine njiti, hesabu ilikuwa...
View Article