$ 0 0 Na hawa wanne hapa chini wamehukumiwa kifo kufuatia kumuua Zawadi Magimbu (32) mlemavu wa ngozi huko Geita.Kutoka kushoto ni Nasoro Charles, Singu Siantemi, Masaru Kahindi na Ndahanya Lumola. Picha na Jackline Masinde.