$ 0 0 BABA: Mwanangu mbona leo umewahi kuamka kwenda shule kulikoni?...MTOTO: Namuwahi mwalimu wa bagia!BABA: Mjinga sana wewe badala yakuwahi elimu wewe unawahi bagia!! MTOTO: Baba unajua kiukweli kabìsa elimu haina mwisho ila bagia mwisho saa nne.