$ 0 0 Waumini wa madhehebu ya Kikristo wanaungana leo duniani kote kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka. Blog hii inawatakia nyote sherehe njema na baraka za Kristu Mfufuka.