Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Browsing all 2089 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAWATAKIA SIKUKU NJEMA YA PASAKA

Waumini wa madhehebu ya Kikristo wanaungana leo duniani kote kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka. Blog hii inawatakia nyote sherehe njema na baraka za Kristu Mfufuka.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUISINDIKIZA PASAKA INAVYOKUWA KILIMANJARO

Wadau huko Moshi wametuletea haya wakisema ndo yanayoipamba Pasaka maeneo hauo ya milimani. Ama kweli wadau wanafaidi. Pasaka njema kwa raha zenu.Vyakula vya leo ni Pilau MbuziKitu Mbege nacho ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITUKO VYA FURAHA YA PASAKA

Kutokana na wengine kufurahia mno kiasi kwamba wanashindwa kusubiri Pilau la pasaka liive, imebidi mbinu nyingine zitumike ili chakula hivho kiive vizuri. Wengine wa uroho(Wali Kuku)wanataka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPA FRANCIS 1 AWAOMBEA WANAFUNZI WALIOUAWA KENYA

Katika Ibada ya Jumapili ya Pasaka, Baba Mtakatifu Francis 1 ameiombea dunia Amani na hasa akieleza kuhuzunishwa kwake kwa kitendo cha wanafunzi zaidi ya 150 kuuawa kikatili katika Chuo Kikuu cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHARLES HILARY KUTOKA BBC SWAHILI KUELEKEA AZAM TV

Miongoni mwa watu ambao sauti zao zimesikika sana kupitia BBC London, ni Mtangazaji Mtanzania Charles Hillary aliyewahi kusikika sana hata kupitia Radio One pia.Charles Hillary sasa anarudi nyumbani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARISSA ATTACK-FROM A LAWYER TO A TERRORIST

Hii ndo taswira ya mmoja wa magaidi wa Al Shabaab waliofanya mauaji ya wanafunzi 147 huko Garissa Kenya. Alikuwa ni Mwanasheria mwenye kipaji cha hali ya juu lakini punde kabadilika na kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STEVEN KANUMBA-TUTAKUKUMBUKA DAIMA

Tayari imepita miaka 3 tangu nguli huyu wa Movie nchini atutoke ghafla. Hakika tumepoteza mtu muhimu ambaye alikuwa anang'arisha tasnia ya Filamu nchini,kuibua na kukuza vipaji vya wengi. Mungu akulaze...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI ADHABU NYINGINE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YAUA 12 IKIHUSISHA BASI LA NGORIKA HUKO MSATA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMO WA MADEREVA NCHINI LEO

Abiria wakisubiri Daladala katika eneo la Unungo Darajani Dar bila mafanikio kufuatia mgomoHeka heka Kituo cha Mabasi Ubungo DarKinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii, redioni na TV ni ripoti ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZA MWIZI AROBAINI: ALAZIMISHWA KULA MAHINDI MABICHI

Jamaa ambaye jina halikuweza kupatikana mara moja, amejikuta akionja joto ya jiwe baada ya kudaiwa kukutwa akiiba kwenye shamba la mahindi hivyo kulazimishwa kula mahindi mabichi.Tukio hilo la aina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHEZAJI MAVETERANI WA BARCELONA WAMTEMBELEA RAIS IKULU

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona wakati walimpomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAWEZA KUIZUNGUMZIAJE FAMILIA HII?

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE.FREEMAN MBOWE,MBUNGE ATOA MSAADA WA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA KILIMANJARO

Mbunge wa Hai,Mhe.Freeman Mbowe ametoa msaada wa magari mawili ya kubebea wagonjwa (AMBULANCE) kwa Hospitali za Hai na Machame katika Jimbo lake la UchaguziTaswira ya magari hayo ndani na njeMhe. Mbowe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOKOINE; TUTAKUKUMBUKA DAIMA

Tarehe kama ya leo 12.04.1984, Taifa la Tanzania lilimpoteza kiongozi wake shupavu, aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine, kufuatia ajali ya gari eneo la WAMI-DAKAWA Kilomita 35 nje...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI NJEMA: TRENI MPYA YA DELUXE KUELEKEA MWANZA LEO JPILI

Shirika la Reli nchini TRL linafurahi kuwajulia wananchi wote kuwa leo tar 12.April ile treni mpya yenye mabehewa mapya ijulikanayo kama DELUXE itaaondoka Dar kuelekea Mwanza baada ya kuzinduliwa rasmi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAWATAKIA WIKI NJEMA

Mwalimu, Albert Juakali wa shule ya msingi Iboma iliyopo kijiji cha Udinde Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya akifundisha wanafunzi wa darasa la kwanza chini ya Mti wa Mbuyu Japo mazingira ni magumu lakini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE RAIS KIKWETE AONGEA NA MAASKOFU -SHINYANGA.

Mhe Rais Kikwete alikuwa miongoni mwa Waumini na watu wenye mapenzi mema waliojumuika katika Ibada ya kumsimika/kumtia wakfu Askofu Mpya wa Jimbo Katoliki la Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu...

View Article
Browsing all 2089 articles
Browse latest View live