Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Browsing all 2089 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJUE MWANZILISHI WA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Sewa Hadji Paroo, mwana jamii ya Ismailia mzaliwa wa Zanzibar na mwanzilishi wa Hospitali ya Muhimbili mwaka 1891. Sewa Haji pia ndiye mwanzilishi wa Shule ya Msingi Mwambao Bagamoyo (Rais Jakaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AWATEMBELEA WANANCHI KAWE KUTATUA MATATIZO YAO YA...

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wananchi wa Kawe Mzimuni alipofika kutatua mgogoro wa ardhi.Wananchi wa Kawe Mzimuni wakiwa kwenye ukuta walioubomoa kutokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU, HII IMEKAAJE?

Askari Trafiki kuomba lift, hakuna mwenye helmet, kapakata mzigo, sheria za usalama Barabarani hapa zinazingatiwa na nani?

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WAANIKWA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA MTINDO HUU AJALI HAZIEPUKIKI

Imekuwa tabia ya madreva wengi kudharau sheria za barabarani na hata matumizi ya busara wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto. Tazama picha hizi hapa chini kwa hisani ya Michuzi Blog.Tusaidiane...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNAELEKEA WAPI?

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAKULA MUHIMU LAKINI KULA KWINGINE MTIHANI

Familia moja nchini India imepata wakati mgumu kufuatia watoto wao kuwa na maumbo makubwa kupita umri na kimo chao.Wazazi wao wamesema wamekuwa wakipata wakati mgumu wa kuwahudumia watoto hao chakula...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI NYINGINE MBEYA LEO

Watu 19 wamefariki dunia baada ya Hiace waliokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka maeneo ya Kiwira wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.Ajali hii inafuatia madereva wa mabasi makubwa kugoma kusafirisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFRIKA KUSINI HALI SI SHWARI

Kwa siku kadhaa sasa hali imekuwa si shwari nchini Afrika Kusini kufuatia mapigano ya kupinga wahamiaji nchini humo. Wakazi wa zehemu mbali mbali nchini humo wamekuwa wakiua wahamiaji, kuchoma nyumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC - "UCHAGUZI MKUU HAUTASOGEZWA MBELE"

Tume ya uchaguzi nchini (NEC)imesema tarehe ya Uchaguzi mkuu Mwaka huu iko pale pale ambapo ni siku ya terehe 25 mwezi octoba mwaka huu.Kauli ya NEC inakuja ikiwa ni siku moja kupita baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI SAMWEL SITTA AFANYA MAAMUZI MAZITO TRL(Reli) NA TPA(Bandari)

SERIKALI imewasimamisha kazi karibu viongozi wote wakuu wa Kampuni ya Reli nchini (TRL), kwa kile kilichoelezwa kuwa hujuma ya mabilioni ya shilingi yaliyotumika kununua mabehewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADEREVA KUWENI MAKINI MTATUMALIZA

Imekuwa ni wimbo sasa kila kukicha watu wanapoteza maisha yao kwa ajali zinazoepukika. Kumekuwa na uzembe mwingi wa madereva barabarani. Tunawaomba wathamini utu na uhai wa kila mtu. Ajali nyingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA MAGAZETINI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.....

Kutokana na tafiti mbalimbali zilizofanywa hapa nchini na baadhi ya taasisi za utafiti, Mh. Edward Lowassa amekuwa akitajwa kama mwanasiasa anayeongoza kwa kukubalika zaidi kwa mujibu wa hizo tafiti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA

Ni jumapili siku nyingine ya mapumziko na kwa wakristo siku ya Ibada, nawatakia nyote mapumziko mema ya mwisho wa Juma.Nae mnyama huyu katika moja ya Mbuga zatu za wanyama akiwa amepiga pozi lake la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FASTJET YAZINDUA SAFARI KILIMANJARO-ENTEBBE

Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Mhe. Jimmy Kibati akikata keki kuashiria uzinduzi wa Safari za ndege ya Fastjet katiya Kilimanjaro (KIA) na Entebbe Uganda. Uzinduzi huu ulifanyika wiki ilopita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TULIKOTOKA NI MBALI

Soda zetu ambapo miaka ya 80 zilizkuwa zinauzwa kati ya sh.12 na 20 kwa chupaUsafiri wetu ambapo kutoka Arusha kwenda Dar es Salaam mnalala njiani hata siku 2 kwa baadhi ya mabasi hayoStempu zetu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MEMBE: HAKUNA MTANZANIA ALIYEFARIKI KATIKA MAPIGANO AFRIKA KUSINI

Watanzania 23 waishio Afrika Kusini wamewekwa kwenye kambi maalumu ya Isipingo nchini humo ili kupewa ulinzi wa maisha yao yaliyo hatarini kufuatia mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATEJA WA TIGO PESA KUFAIDIKA NA MGAO WA BILIONI 3.3

Tigo Tanzania imetangaza mgao mwingine wa malipo kutoka kwenye mfuko wa fedha wa Tigo Pesa wenye thamani ya shilingi bilioni 3.3 (US $ 1.8) kwa wateja wake. Mgao huu wa fedha ndio wa kwanza katika robo...

View Article
Browsing all 2089 articles
Browse latest View live