SIFA ZA MGOMBEA URAISI KWA TIKETI YA CCM ZAAINISHWA
1. Anapaswa kuwa na uwezo wa kuliongoza Taifa kwa kuzingatia uzoefu alionaokatika uongozi wa shughuli za Serikali, umma na taasisi.2. Awe mwadilifu, mwenye hekima na busara.3. Awe na elimu ya kiwango...
View ArticleTRENI YA MWENDO KASI KULIKO ZOTE DUNIANI HUKO JAPAN
Treni ya Japan ya Shirika la Central Japan Railway iendayo kasi, imevunja rekodi yake duniani kwa kufikia mwendo wa kilomita 603 kwa saa, sawa na maili 374 kwa saa katika majaribio yake karibu na Mlima...
View ArticleWATAMBUE WATUHUMIWA SUGU WA KUPORA WAGENI NA WANAWAKE MIKOBA/POCHI
Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye...
View ArticleWAALIMU KWA ADHABU HIZI MNATUULIA WATOTO
Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui wilayani Kiteto, amefariki dunia darasani baada ya kudaiwa kuchapwa viboko na walimu watatu wa shule hiyo, kwa kile kilichodaiwa kufeli...
View ArticleKUELEKEA UCHAGUZI MKUU: MNAOWANIA UONGOZI JIANDAENI KUTULETEA UWIANO WA...
1. MICHEZO YA WATOTOWatoto wanahitaji maeneo ya kuchezea. Sehemu nyingi zilizokuwa wazi zimetengwa kwa ajili hiyo zimeingilia na kutumika vinginevyo.Wakati hao wa mazingira magumu wanacheza peku kwenye...
View ArticleMKUU WA WILAYA WA KINONDONI AONYESHA KUTHAMINI VIPAJI
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Makonda na Kampeni ya vipaji inaitwa "Kipaji chako Ajira yako" fomu za kushiriki kwa Vijana zimeshaanza kutolewa kwenye ofisi za Kata za Serikali ya mitaa za Wilaya ya...
View ArticleKUSINI MWA TANZANIA KUANZA KUNEEMEKA NA MIRADI YA DANGOTE
Msafara kutoka kijiji cha Mgao atakako jenga BandariNdege ya Alhaji Dangote katika Uwanja wa Ndege Mtwara baada ya kutua alipokuwa naenda kutembelea eneo la fukwe atakakojenga Bandari.Kiwanda cha...
View ArticleJIJI LA DAR ES SALAAM LAZIDI KUCHANUA
Taswira kutokea maeneo ya Posta DarMawasiliano Tower pembeni ya Mandela Road (Ubungo/Mwenge)Twin Towers (Magorofa Pacha) ya Benki Kuu ya TanzaniaJengo la Kuongoza Meli lililopo maeneo ya Ferry DarUhuru...
View ArticleSHEREHE ZA MUUNGANO ZAFANA
Rais Jakaya Kikwete hapojana aliongoza sherehe za miaka 51 ya Muungano waTanganyika na Zanzibar. Hii nisherehe yake ya mwisho kama rais wa Tanzania maana baada ya Uchaguzi wa Oktoba tutakuwa na...
View ArticleTETEMEKOLA ARDHI HUKO NEPAL LAUA ZAIDI YA 4,000
watu wanaokadiriwa 4,000wamefariki dunia kufuatia tetemeko la ardhi huko nchini Nepal.Maeneno mbalimbali ya Makumbusho katika Mji wa Kathmandu yameharibiwa kabisa
View ArticleYANGA MABINGWA BARA 2015
timu yaYanga imetwaa Ubingwa 2015 baada ya kuichapa Polisi kwa magoli 5 kwa 1
View ArticleYALIYOJIRI SHEREHE ZA MEI MOSI 2015
Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi mei mosi mwaka huu wa 2015 kitaifa yamefanyika jijini Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba Jiji la Mwanzaambapo Mgeni rasmi katika sherehe hizi ni Mh. Dr. Rais Jakaya...
View ArticleNDONDI: FLOYD MAYWEATHER AMDUNDA MANNY PACQUIAO
Usiku wa kuamkia leo limefanyika Pambano kali la Ndondi kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao huko Las Vegas Marekani ambapo Mayweather kachukua mkanda huo wa ushindi.Hapa wakipozi mbele ya...
View ArticleMGOMOWA MADREVA WALETA KIZAAZAA SEKTA YA USAFIRI NCHINI
Leo tena madreva wa vyombo mbalimbali vya abiria wamegoma kusafirisha abiria wakitaka matakwa yao yatekelezwe.Abiria wengi wakiwemo wanafunzi hasa katika Jiji la Dar es Salaam wamelazimika kutembea kwa...
View ArticleMAGAZETI LEO NA HABARI ZA MGOMO WA MADEREVA
Hata hivyo mgomo huo umemaliziaka leo baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kuongea na madreva hao na kuwajulisha kuhusu kamati iliyoundwa kushughulikia suala lao na kutolewa majibu ndani ya siku 10
View ArticleBAYERN MUNICH WATOLEWA JASHO NA BARCELONA KOMBE LA UEFA
Timu ya Bayern Munich ya huko Ujerumani imefungwa bao 3 kwa bila na Timu ya Barcelona katika mchezo wa nusu fainali. Mabao 2 yalifungwa na mshambuliaji makini Lionel Mess na la tatu lilifungwa na...
View ArticleTUNADUMISHA MILA
Wananchi wa kabila la Maasai wakiruka juu katika moja ya michezo yao ya kijadi. Je wewe unadumisha mila zilizo njema ili upate cha kuwarithisha watoto na kizazi kijacho?Waweza pia kudumisha mila kwa...
View Article