Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

YALIYOJIRI SHEREHE ZA MEI MOSI 2015

$
0
0
Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi mei mosi mwaka huu wa 2015 kitaifa yamefanyika jijini Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba Jiji la Mwanzaambapo Mgeni rasmi katika sherehe hizi ni Mh. Dr. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Akihutubia taifa kupitia siku ya wafanyakazi duniani Rais Jakaya Kikwete amesema sherehe hizo ndizo za mwisho yeye kuudhuria kama rais wa nchi.Kauli hii ina maana kuwa hana mpango wa kuendelea

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

Trending Articles