Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

NDONDI: FLOYD MAYWEATHER AMDUNDA MANNY PACQUIAO

$
0
0
Usiku wa kuamkia leo limefanyika Pambano kali la Ndondi kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao huko Las Vegas Marekani ambapo Mayweather kachukua mkanda huo wa ushindi.
Hapa wakipozi mbele ya waandishi wa habari walipokuwa wakinadiwa kabla ya siku ya mpambano

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

Trending Articles