$ 0 0 Hata hivyo mgomo huo umemaliziaka leo baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kuongea na madreva hao na kuwajulisha kuhusu kamati iliyoundwa kushughulikia suala lao na kutolewa majibu ndani ya siku 10