MVUA ZA MASIKA NA ADHA ZAKE
Mvua za masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini zimekuwa na manufaa kwa wengine, huku wengi wa wananchi hasa Jijini Dar es Salaam wakikumbwa na adha nyingi. Usafiri umekuwa wa...
View ArticleTASAF YAWAJIA JUU BAADHI YA WANAUME SINGIDA
Mwenyekiti wa kijiji cha Mwanga tarafa ya Nduguti wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Jackson Mkoma, akifungua mkutano wa tathmini ya matumizi ya fedha za TASAF awamu ya nne uliofanyika kwenye viwanja...
View ArticleYALIYOJIRI MAGAZETINI
KUTOKANA NA MVUA HALI YA USAFIRI JIJINI DAR IMEKUWA KERO KAMA HIVI
View ArticleMKUTANO WA 20 WA KIKAO CHA 10 CHA BUNGE KUANZA 12 MEI 2015,
Bunge la Juamhuri ya Muungano wa Tanzania litaanza kikao chao cha Bajeti tar 12 Mei 2015 ila wabunge wote wanatarajiwa kufika Dodoma hapo tar 10 Mei/ Kikao hiki ni cha mwisho kabla ya Bunge kuvunjwa...
View ArticleSHERIA KUHUSU MAKOSA YA MITANDAONI
TAARIFA YA MHE. PROF. MAKAME MBARAWA (MB), WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUHUSU SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO YA MWAKA 2015 KWA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 8 MEI,...
View ArticleALIKOTOKA NI MBALI @ WEMA SEPETU
Picha yake zamani hizoooooHapa alipotwaa Taji la Miss Tanzania 2006 (Pembeni yake ni Jokate Mwogelo na Lisa Jansen)Na hapa akiwa katika vazi la heshima la kitenge miaka ya hivi karibuni
View ArticleBASI LA DAR EXPRESS LAWAKA MOTO LIKIWA SAFARINI
Linahesabika kama tukio jingine la Basi kuwaka moto katika rekodi za mabasi yaliyowaka moto yakiwa safarini nchini Tanzania wakati yakiwa na abiria.Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Pwani...
View ArticleMHE DAVID CAMEROON ACHAGULIWA TENA KUWA WAZIRI MKUU UINGEREZA
Waziri Mkuu wa Uingereza kupitia chama cha Conservative, amechaguliwa tena kushika nafasi hiyo katika uchaguzi uliofanyika hapo jana. Alishinda kwa kishindo cha kura 331 huku wapinzani wake Ed...
View ArticleTUNAMSHUKURU MUNGU KWA YOTE: JANA MVUA SANA LEO JUA KALI
Kwa wiki nzima sasa maeneo mengi hasa jijini Dar kumekuwa na mvua ilosababisha adha nyingi za maji kufurika. Ila leo jua limewaka hata ukiona watu wamejikinga kwa mwavuli sio sababu ya mvua bali jua...
View ArticleOPERESHENI TOKOMEZA YAWASAFISHA MAWAZIRI
1.1 Tarehe 01/05/2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete aliunda Tume ya Uchunguzi kuhusu malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza. Aliteua...
View ArticleSIKU YA MAMA DUNIAN I: HAPPY MOTHER'S DAY
Mama alijitahidi kula vyakula bora,kulala kwenye chandarua, kula mbogamboga za majani, na matunda, alijizuia kufanya kazingumu ili wewe uzaliwe salama. Ukakaa tumboni kwake miezi tisa, siku yake...
View ArticleBURUNDI HALI SI SHWARI
Mhe.Pierre Nkurunziza, Raisi wa BurundiSerikali ya Burundi imewataka waandamanaji katika mji mkuu wa Burundi Bujumbura kusitisha maandamano yao dhidi ya hatua ya rais wa taifa hilo Pierre Nkurunziza...
View ArticleTASWIRA ZA MHE. RAIS KIKWETE AKIWA ZIARANI NCHINI ALGERIA
Akikaribishwa na Waziri Mkuu wa Algeria Mhe. Abdelmalik sellal kuingia katika Ikulu ya nchi hiyo huko Zerald.kiweka Shada la Maua katika Kaburi la Mashujaa wa Algeria.Mhe. Rais Kikwete yupo nchini humo...
View ArticleKITU HIKI ASILI YAKE UCHAGGANI KILIMANJARO
Taswira ikionyesha wenyeji wa Kilimanjaro wakikosha roho zao na kitu "Mbege" tena kwenye kifaa asilia kiitwacho "Kata"
View ArticleTUNATARAJIA VIONGOZI WATAKAOTUTOA HUKU...
Wananchi wengi wa Tanzania bado wanaishi katika mazingira magumu sana. Kuna matabaka kati ya walio nacho na wasionacho. Hali hii imepelekea wengine kuishi maisha mazuri sana na wengine kuishi bila...
View ArticleMVUA HIZI NA TAFRANI KATIKA FAMILIA
BABA:- Halloo mke wangu.. yaani ni shida sitaweza kurudi nyumbani, daraja limevunjika na kutoka Morogoro kurudi Dar haiwezekaniMAMA:- Mume wangu Morogoro ulienda bila kuniaga! ?BABA:- Ilikuwa ni ghafla...
View ArticleBUNGE LA BAJETI 2015/2016 LAANZA LEO MJINI DODOMA
Mkutano wa 20 na wa mwisho wa Bunge la 10 ambalo litapitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2015/16 tayari umeanza mjini Dodoma asubuhi hii. Wabunge watachangia bajeti za wizara na Bajeti Kuu ya...
View ArticleUJUMBE KWA JK KUTOKA KWA MARAFIKI WA LOWASSA
Vijana hawa Marafiki wa Mhe. Edward Lowassa walikwea Mlima Kilimanjaro na walipofika kileleni (UHURU PEAK) baada ya siku 5, walipiga picha hii kuonyesha ujumbe huu kwa Mhe.Rais Jakaya Kikwete.Kundi la...
View ArticleHABARI NJEMA KUTOKA TRL KWA WATUMIAJI WA STESHENI YA TRENI NGURUKA-KIGOMA
Uongozi wa TRL unapenda kuwatangazia watumiaji wote wa usafiri wa Treni DAR/KIGOMA/DAR kuwa kuanzia Mei 17, 2015 Treni iendayo Kigoma ikitokea Dar na kurudi itakuwa ikisimama pia katika kituo cha...
View ArticleUEFA CHAMPIONS LEAGUE: BAYERN MUNICH YATOLEWA NA BARCELONA NUSU FAINALI
Timu ya Bayern Munich ya Ujerumani ambayo ilikuwa ikiwania Kombe la UEFA Champions imetolewa leo na wakali wa Barcelona hata baada ya kushinda 3-2. Sasa Barcelona wanasubirili mshindi wa kesho kati ya...
View Article