Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

TUNAMSHUKURU MUNGU KWA YOTE: JANA MVUA SANA LEO JUA KALI

$
0
0
Kwa wiki nzima sasa maeneo mengi hasa jijini Dar kumekuwa na mvua ilosababisha adha nyingi za maji kufurika. Ila leo jua limewaka hata ukiona watu wamejikinga kwa mwavuli sio sababu ya mvua bali jua limekuwa kali

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

Trending Articles