KIONGOZI WA MAPINDUZI BURUNDI
Kiongozi wa ''Mapinduzi'' Meja Jenerali Godefroid NiyombareHali nchini Burundi bado si shwari baada ya Kiongozi huyu kutangaza kuwa hamtambui Mhe.Pierre Mkurunziza kama Rais wa Burundi na kudai yeye...
View ArticleWATOTO CHINI YA MIAKA 5 KUPEWA CHETI CHA KUZALIWA BURE
Mhe. Ummy Mwalimu akikabidhi cheki kwa mzazi wa mtotoSERIKALI imeondoa ada ya cheti cha kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano ikiwa ni hatua ya kuhakikisha kuwa kila kila mwananchi...
View ArticleBASATA YALAANI TABIA YA SHILOLE ALOONYESHA HUKO UBELGIJI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini limeona picha chafu na zisizo na maadili za Msanii Zuwena Mohamed maarufu kama...
View ArticleRAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI AREJEA NCHINI HUMO BAADA YA KAJARIBIO LA...
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amerejea nchini humo, huku naibu kiongozi wa mapinduzi akikiri kuwa jaribio la kumuangusha Nkurunziza limeshindwa. Umoja wa Mataifa umetaka kurejeshwa haraka utawala...
View ArticleRAIS WA ZAMANI WA MISRI MORSI AHUKUMIWA KIFO
Mahakama nchini Misri imemuhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa rais wa zamani wa nchi hiyo Mohammed Morsi kwa kosa la kuchochea machafuko wakati wa maandamano Desemba mwaka 2012 yaliyolenga kupinga uongozi...
View ArticleUKUMBI WA KISASA WA KIMATAIFA WA MIKUTANO UNAOJENGWA NA CCM HUKO DODOMA
Taswira ya jengo hilo kwa njeRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makandarasi wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma leoMhe.Rais Kikwete akitazama ukumbi huo...
View ArticleKARIBU TANZANIA MHE.RAIS NYUSI WA MSUMBIJI
Rais wa Msumbiji mhe. Nyusi yupo nchini tangu jana kwa ziara ya siku 3.Mhe Raisi Kikwete akimkaribisha mgeni wake alipowasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere DARNgoma ya mganda ikichezwa wakati wa...
View ArticleMAJAMBAZI YAKAMATWA KATIKA JARIBIO LA WIZI NMB SINZA MORI DAR
Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia Benki ya NMB tawi la Bigbon Sinza Mori na kuiba, ila katika kutaka kuondoka kuelekea kwenye gariu lao wakadakwa na kuwekwa chini ya ulinzi. Hapa ndo ule...
View ArticleMAENDELEO YA TERMINAL 3 YA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA JULIUS NYERERE
Terminal 3 ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere unaendelea kujengwa na awamu ya kwanzan inatarajiwa kukamilika Juni 2016. Naibu Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango ndg Florance...
View ArticleRAIS WA MSUMBIJI BUNGENI DODOMA LEO
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.Anna Makinda akimkaribisha Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma ambapo Rais huyo alilihutubia Bunge Rais Wa...
View ArticleTAHADHARI KUHUSU SIMU ZA MKONONI
Ila pia..................simu hizi zina vituko.Huku #whatsapp kuna vituko watu na status zao:1. Mtu ameandika “#Sleeping” , sasa leo siku yatano, si kashakufa huyu?2. Mwingine kaandika...
View ArticleMV. BUKOBA - DAIMA TUTAWAKUMBUKA
Chini ni mnara wa kumbukumbu ya eneo ambalo walizikwa watu waliopoteza maisha katika ajali ya MV Bukoba hiyo mnamo Mei 21.1996. Leo ni tarehe 21 mei, siku ambayo kila mwaka watanzania wanaadhimisha...
View ArticleKITUO CHA KUCHAKATA GESI KINYEREZI - 1 DAR KUKAMILIKA MWAKA HUU
Kituo cha kuchakata na kuzalisha umeme kwa njia ya gesi cha Kinyezi I kimekamilika kwa asilimia 88 na kinatarajiwa kuzalisha umeme kuanzia Septemba mwaka huu.Hayo yalisemwa na Meneja Mradi wa Kinyerezi...
View ArticleWASHINDI TUZO ZA WATU
Hii ni orodha kamili ya washindiMtangazaji wa redio anayependwaD’Jaro Arungu – TBC FMKipindi cha redio kinachopendwaPapaso – TBC FMMtangazaji wa runinga anayependwaSalim Kikeke – BBC SwahiliKipindi cha...
View Article