Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

MAJAMBAZI YAKAMATWA KATIKA JARIBIO LA WIZI NMB SINZA MORI DAR

$
0
0
Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia Benki ya NMB tawi la Bigbon Sinza Mori na kuiba, ila katika kutaka kuondoka kuelekea kwenye gariu lao wakadakwa na kuwekwa chini ya ulinzi. Hapa ndo ule msemo wa 'Za mwizi arobaini' umetimia kwao.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

Trending Articles