Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI AREJEA NCHINI HUMO BAADA YA KAJARIBIO LA KUIANGUSGHA SERIKALI YAKE KUSHINDWA

$
0
0
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amerejea nchini humo, huku naibu kiongozi wa mapinduzi akikiri kuwa jaribio la kumuangusha Nkurunziza limeshindwa. Umoja wa Mataifa umetaka kurejeshwa haraka utawala wa sheria. Mshauri mwandamizi wa mawasiliano wa rais Willy Nyamwitwe, alisema Nkurunziza amerejea nchini humo, lakini hakutoa maelezo zaidi kwa kile alichosema ni sababu za kiusalama.
Wakati huo huo habari zinadai kuwa wanajeshi waliopanda kumpindua Rais Nkurunziza wamekamatwa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

Trending Articles