MAPACHA WAOLEWA NA MWANAUME MMOJA
Owami na Olwethu Mzazi,mapacha wenye umri wa miaka 26 ,kutoka Vosloorus ,Afrika Kusini, hivi karibuni wamefunga ndoa na mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Mzukiseni Mzazi mwenye miaka...
View ArticleNAWATAKIA JUMAPILI NJEMA NA MAPUMZIKO MEMA YA MWISHO WA WIKI
Watoto hawa wanahitaji kupata matumaini ya maisha mema mbeleni. Tuwasaidie wafikie ndogo hiyo nzuri
View ArticleRAIS KIKWETE ATOA ANGALISHO CCM UCHAGUZI MKUU OKTOBA
Wajumbe wa NEC wakiwa katika kikao Mjini Dodoma
View ArticleCCM YATANGAZA MASHARTI KWA WAGOMBEA NAFASI MBALIMBALI KWA UCHAGUZI UJAO
*Mbwembwe,sherehe marufuku*Idadi ya wadhamini, mikoa sasa yaongezwa*Wajumbe NEC, marufuku kudhamini wagombeaChama cha Mapinduzi(CCM), kimetangaza rasmi ratiba ya kuchukua na kurejesha fomu kwa ajili ya...
View ArticleRAIS AFANYA UHAMISHO WA WAKUU WA WILAYA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425PRESIDENT’S...
View ArticleTUZO ZA BBC: MCHEZAJI BORA WA KIKE WA MPIRA WA MIGUU
Mshambuliaji wa Nigeria na timu ya Wanawake ya Liverpool, Asisat Oshoala ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya BBC ya mwanasoka bora wa mwaka.Oshoala, mwenye umri wa miaka 20 ni mchezaji wa kwanza...
View ArticleMHE. RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WAALIMU TANZANIA (UWT)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Chama Cha Waalimu TANZANIA( CWT) uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana.Wakati wa...
View ArticleKUELEKEA UCHAGUZI MKUU: MAJIMBO YA MBEYA MJINI NA VIJIJINI KUGAWANYWA
KIKAO cha Kamati ya Ushauri cha Wilaya ya Mbeya, jana kilikaa na kupitia mapendekezo ya kuyagawa majimbo mawili ya Mbeya na kuwa majimbo manne ya uchaguzi kwa mwaka 2015.Kikao hicho kiliwahusisha...
View ArticleORIJINO KOMEDI WAKABIDHIWA MATREKTA
Mwigizaji wa Orijino Komedi Mjuni Silvery (Mpoki) akikabidhiwa Trekta na Fundi Mkuu wa Kampuni ya Farm Equip Bw.Yunusu Nsekela Jijini Dar es Salaam leo
View ArticleWATU ZAIDI YA 1000 WAFARIKI KWA JOTO NCHINI INDIA
Watu zaidi ya 1000 wamepoteza maisha mpaka sasa nchini India kufuatia hali ya joto kupanda mpaka nyuzijoto 50.
View Article