RAIS MPYA WA NIGERIA MUHHAMADU BUHARI AAPISHWA LEO
Nchi ya Nigeria leo imemwapicha Rais mpya wa kwanza kutoka Chama cha Upinzani kuingoza Nchi hiyoMhe Rais aliyemaliza muda wake Goodluck Jonanathan akimpongeza mhe Rais Buhari mara baada ya kuapishwa...
View ArticleFIFA: JOSEPH SEPP BLATTER ACHAGULIWA TENA RAIS
FIFA imemchagua tena Mhe.Sepp Blatter kuwa Rais wa FIFA baada ya mpinzani wake Prince Ali kujiengua dakika za mwisho. Blatter anaishika nafasi hiyo kwa mara ya Tano mfululizo tangu aingie katika ngazi...
View ArticleSERIKALI YAMKOMALIA MWANAMUZIKI SHILOLE
Serikali imeahidi kumchukulia Shilole kufuatia kusambaa kwa picha zake chafu zilizopigwa wakati akitumbuiza nchini Ubelgiji.Akizungumza bungeni Dodoma leo, Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na...
View ArticleMHE.LOWASSA ATANGAZA NIA AKIWA ARUSHA
Gari lililombeba Mhe. Edward Lowassa likiingia katika uwanja wa Shekh Abeid Karume huko ArushaMtangaza nia akiwapungia wananchi mkono wakati akiwasili katika Uwanja wa Karume huko ArushaMtangaza nia...
View ArticleHOTUBA YA MHE. LOWASSA HUKO ARUSHA
UTANGULIZI:Ndugu zangu wana-CCM na Watanzania wenzangu,Hii ni siku muhimu kwangu na kwa nchi yetu. Leo nimeamua kuwaita ili kuwatangazia rasmi Watanzania wenzangu azma yangu ya kutaka kuomba ridhaa ya...
View ArticleWANACCM WALOTANGAZA NIA YA KWENDA IKULU
Mhe. Steven WasiraWaziri-wa-Nchi-Ofsi-ya-Rais-Steven-Wasira-akihutubia-kwenye-Uwanja-wa-Community-Cetre-Mwanga-KigomaMhe.Lowassa huko Arusha janaMhe. Lameck Mwigulu Nchemba kutangaza nia leo huko Chuo...
View ArticleCHUO KIKUU KISHIRIKI MARIAN BAGAMOYO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Pengo, kwa pamoja wakifunua kitambaa kama ishara ya...
View ArticleIJUE KAMATI KUU YA CCM ITAKAYOPITISHA MAJINA 5 YA WANAOWANIA URAIS
Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM itakayopitisha majina matano ya wagombea uraisi kwa ajili ya kupigiwa kura na NEC kupata mgombea mmoja.1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Dr. Ally Mohamed Shein3. Phillip...
View ArticleMARAIS JAKAYA KIKWETE NA SHEIN ZIARANI NCHI ZA ULAYA
Mheshimiwa Rais Ali Mohamed Shein akiagana na viongozi mbalimbali kabla ya kuondoka kuelekea nchini Ujerumani kwa ziara ya kikaziMhe.Rais Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais wa Finland mhe. Sauli...
View ArticleRAIS WA FIFA JOSEPH SEPP BLATTER ATANGAZA KUJIUZULU
Rais wa FIFA Sepp Blatter ametangaza kujiuzulu wadhifa huo ikiwa ni siku nne tu baada ya kutangazwa kushika nafasi hiyo. Hata hivyo amesema kuwa ataendelea kushikilia nafasi hiyo hadi uchaguzi...
View ArticleKUTOKWA MACHOZI WAKATI WA KUMSALIMIA RAIS KENYATTA KWAMPA TIKETI YA KUZURU...
Mara ya kwanza msichana huyu jina na picha yake viliingia kwenye Headlines baada ya kuonekana akisalimiana na Rais Kenyatta huku akitokwa machozi. Kumbe ni RaisKenyatta aliyemwona msichana huyo...
View ArticleMWANAMKE WA KITANZANIA KHANGA
Hawa ni kinamama wa Kata ya Buger huko Karatu Arusha Tanzania. Hapa mkazi mmoja wa Buger Bi.rehema akitoa kero yake kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Lazaro Nyalandu
View ArticleJEZI MPYA ZA TAIFA STARS ZAZINDULIWA
Mwonekano wa jezi mpya zitakazotumika kwa mechi za nyumbaniMwonekano wa jezi mpya zitakazotumika kwa mechi ugenini
View Article