Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

BUNGE LA BAJETI 2015/2016 LAANZA LEO MJINI DODOMA

$
0
0
Mkutano wa 20 na wa mwisho wa Bunge la 10 ambalo litapitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2015/16 tayari umeanza mjini Dodoma asubuhi hii. Wabunge watachangia bajeti za wizara na Bajeti Kuu ya Serikali ndani ya siku 44 ikilinganishwa na siku 56 zilizotumika kupitisha bajeti ya mwaka 2014/15 na miaka ya nyuma na bunge hilo litamalizika Juni 27.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2089

Trending Articles