$ 0 0 Bunge la Juamhuri ya Muungano wa Tanzania litaanza kikao chao cha Bajeti tar 12 Mei 2015 ila wabunge wote wanatarajiwa kufika Dodoma hapo tar 10 Mei/ Kikao hiki ni cha mwisho kabla ya Bunge kuvunjwa kupisha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015